Wakifa watoto wa ndugu zenu
hampost, wakifa watoto wa wenzenu mnapost ila awe star'. Akifa mtoto wako utampost wewe tu hakuna atakae shuhulika. Sasa ni nin hii?
Kila mtu a play party yake tuache unafiki.
Watu wanajifnya wanajari sana misiba inapotokea kwa mtu hasa akiwa maarufu watapost kila mahari
ila hawa hawa binadamu hawajali unapotokea msiba hata awe ndugu yake atachukulia kawaida tuu.
Ukweli upo hivyo. Sasa achana nahii ya watu 20 ,kuna watu wafamilia moja wapatao 14 walikufa siku moja kwaajali yaan siku moja on the spot palepale watu wa familia moja wapatao 14.. Unaweza pima haya maumivu???
Lkn ilipita kama zilivyopita ajali myingine. Alafu leo Kafa dogo. Kisa ni mtoto wa star basiii si IG mpaka JF,, ni vilio vya kinafiki tu ndo vimepakaa, .....wengine hapo hapo uko Insta ndo wanatumia Fursa hii kupata follower, page zao kutembelewa ili wapate pesaa, wengine humh JF niwafuata mikumbo tuu ,nao wanafake majonzi ili waonekane wanauchungu .
Mamaee zao, wengine hapa ,majuzi ndugu zao wa damu wamekufa, lkn hata kutuambia humu au kumpost uko IG hamnaaa, wengine humu hawajauzulia vifo vya ndugu zao kibao, wakijifanya wapo bize kupita kiasi ..mamaee zao ..
ACHENI KUJITIA UNAFIKI , USOKUA NAMAANA HUKU ROHON MWENU MKIJIJUA.
amekufa, yes amekufa, mwacheni mtoto wawatu apumzike kwa amani sio kuanza kumjadili saizi, .. ***** zenu, Mbona hamkutoa mchango wa dogo kupata matibabu husika??
Upuuzi tu ndo mmejaa, mbona, hamkuchukua jukumu lakwenda kwa mona ,au baba halisi wtoto au baba wakambo nakuwaeleza hali halisi ili wamjengee mtoto mazingira bora??
Mtoto anakufa ndo mnajifanya kutunisha mijicho yenu ,na vilio vya kisenge sengee humu ,muonekane mnahuruma ..pumbavu sana .
Eti kijitu kinakuja kusema * Uzembe wa mona ,ndo umeua mtoto..ohooooo walifanya siri sana, ohoooo baa wakambo hakujali,.ohoooo baba wakambo na mona ndo wamefanya kifo* .. Pumbavuu zenu, peleken huko unafiki wenu. MLIKUA WAPI KWENDA KWA MONA AU BABA WAKAMBO MKAWASHAULI ?? WENDA MNGEKUA SEHEMU YA UHAI WA MTOTO HUYU ?? MLIKUA WATU??
alafu mijitu mingine ,Unafikiiii unafiki tu imewajaa na umbeya wakipuuzi .