Tanzia: Muigizaji Rachel Haule afariki dunia

Dr. Waambie ukweli wanaeenda kinyume na maumbile wengi wao ni lazima wajifungue kwa kisu.
 
Msanii wa bongo movie (Recho) Rachel Haule amefariki dunia usiku wa kuamkia may27 katika hospitali ya taifa Muhimbili, Recho alifika Muhimbili tar25 kwa ajili ya kujifungua, habari zinasema kuwa baada ya kufika hospitali alilazwa na alipojifungua mtoto alifariki hali ya mama ikiwa mbaya zaidi na kuhamishwa ICU ndipo mauti ilipomkuta.
Mwenyekiti wa bongo movie Steven Nyerere amethibitisha kutokea kwa kifo cha Msanii huyo.
Mungu alaze roho yake mahali pema peponi. (AMEN)
 
Poleni sana wafiwa, bwana ameleta bwana ametwaa
 

Yaani huyu steve mwaka huu ahamie mochuari tu..yaani awe anakaa huko huko kurahisisha logistics
 

Mahospitali yanafanya akina mama wajawazito mitaji,sahivi utaambiwa una shida ambayo huna ili mradi ufanyiwe operation.hasa hasa private hospitals

Wiki chache zilizopita nikiwa na ujauzito week 38 dactari ananiambia eti "mbona tumbo lako ni dogo ukilinganisha na umri wa ujauzito,itabidi nikupime njia ili kama ni ndogo tujiandae kwa operation"
mmh nikabeba file langu huyooo sikurudi tena,nikaenda hosp nyingine nikajifungua kawaida na salama.
Operation ndo zinaingiza hela kuliko njia ya kawaida
 
bongo movie polenii maana yanaumiza kweli kuwapoteza wenzenu...RIP Rachel....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…