MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,267
Bora ungekaa kimya
Naona Post yako ya kwanza umeniqoute mimi. Kosa langu ni lipi hapo? ulitaka niseme alazwe wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora ungekaa kimya
Huna lolote wewe unatafuta bwana... Eti ng'ong'o zilipendwa wanguId yako inanikumbusha zilipendwa wangu dear kutoka moyoni Ben Saanane....... CCM sijui wamemfanyaje.
Hiki chama kipigwe mawe tu
Seriously im so shocked, kwa kweli
ila kazi ya Mungu haina makosa,
Rachel ni mwanafamilia wa Bongo
Movie amefariki asubuhi kwa taarifa
zaidi tutapata kwa mwenyekiti wa
Bongo Movie Steve Nyerere ambaye
anaelekea Muhimbili sasa ambapo
mwili wa marehemu ulipo
hifadhiwa, Poleni sana wafiwa na
fans wa Rachel na Bongo Movie kwa
ujumla maana hiki ni kipindi
kigumu sana.....
RIP RACHEL HAULE
Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve
Nyerere, zimesema kuwa Recho
alikwenda Muhimbili jana kujifungua
ambapo mara baada ya kujifungua
mtoto alifariki na yeye hali yake kuwa
mbaya, ilibidi ahamishiwe ICU
ambako hali ilizidi kuwa mbaya na
baadae kufariki dunia.
Mkuu uzi umeshaunganishwa anza nao mwanzo picha na kila kitu tayariTunaomba picha wengine tuwe na ufahamu wakutosha. RIP Rachel
Halafu mbona siku hizi operation zimekuwa common sn nini tatizo? yani mkeo akifika hosptl akisumbua kidogo tu tayar wanakwambia sign hapa,KULIKONI?
Nilimpoteza rafiki yng mwaka jana pale Lugalo, Jesca daaa kama utani vile.RIP dada Recho na my best Jesca.