Tanzia: Muigizaji Rachel Haule afariki dunia

Tanzia: Muigizaji Rachel Haule afariki dunia

Dah Steve inabidi ujiuzulu mbona yangu uvjukue kiti wasanii wanadondoka

Rip Recho

Another mchongo mwingine amjarejesha masalia ya michango ya adamu mpaka sasaa hata kutoa mchanganuo
 
Vifo vya kina mama na watoto wachanga vinavyotokana na uzazi...I don't think we are doing enough to reduce them! Sasa kama Dar hapa mtu maarufu anafariki kwa uzazi na hospitali zote zipo hizi...je mke wa 'mlalahoi' vijijini ndani ndani huko atapona!? Nini wajibu wetu na sisi wanaume!? Tupo tupo tu..wake/dada/shangazi/binti zetu wanakufa tu! RIP Recho.

Kuna mambo mawili au matatu bado kwa upeo wangu naona yanachangia kupunguza spidi ya vifo vya kina mama.
1. Wengi katika jamii yetu wanapata ujauzito wakiwa nyumbani. Hali ambayo inawafanya baadhi yao kushindwa kuhudhuria Kliniki, mapema. Pia kupata ujauzito nyumbani baadhi hutengwa na kuonekana kama wamefanya dhambi kubwa hata kushindwa kupewa msaada, kuhimizwa kuhudhuria Kliniki na kufuata maelekezo ya watoa huduma.

2. Wengi wa wanaopata ujauzito hawahudhurii kliniki kwa wakati hali ambayo inawapa wakati mgumu watoa huduma. Baadhi yao wanapata ujauzito na waume za watu au wanaowapa ujauzito kuwakataa hivyo hata wao wenyewe kukata tamaa ya kuhudhuria kliniki.
 
So judgemental
Dhambi ni nini na kutubu ni nini.....are you sure hata wewe kwa kusema hujatenda dhambi? Shameless.....
Hujanielewa na wala sijamuhukumu mtu na hakuna sehemu ambayo nimesema kwamba mimi sina dhambi, ila inaonekana imekuuma sababu na wewe ndo wale wale
 
Mmmh jaman mbona mungu anachukua walio wazuri tu?? Aaah! R.i.p Recho !!


Wamlaum Mungu tena???
Haya hao wabaya ni wepi ambao Mungu hawachukui???
Huo uzuri umepimwa kwa kipimo chepi hicho bi dada???
Mie nadhani pengine ungelalama Mungu anachukua watu wema tu???
 
Hili tatizo limekua jisugu yani kila mama mzito ambiwa ajifungua kwa surgery na kupona ni aghalabu mno.I think something is realy wrong somewhere.

MUNGU AMUWEKE PAHALA ANAPOSTAHILI.
 
acha kulopoka tu sema tu masirahi ya wafanyakazi yaboreshwe tu kwa wote mfano magereza wakigoma wafungwa wakarudi uaraiani kutachimbika tu uhamiaji yakagoma mabokoharamu siyatakuja kutafuta bikira walimu usiseme
Samahani, sijakuelewa kiswahili chako! Nimetoa maoni yangu na wala sijaLOpoka!
 
Vifo vya akina mama na watoto vimekuwa tishio hapa tanzania. Hebu fikiria ni akina mama wangapi wnakufa kwa uzazi pingamizi? Je, serikali haioni? Kuna haja gani ya kuwapeleka wakina mama wajawazito hospitalini kama anahudhuria kliniki kadi yake inaonyesha hana tatizo, halafu wakati wa kujifungua anafariki? Eee! Mungu wasaidie wazazi na watoto wadogo, uwalinde na vifo vya mapema. R.I.P RACHEL HAULE! DAIMA TUTAKUKUMBUKA
 
BAHAT MBAYA MKUU NI MIMI NLIO APLOAD...HALAFU NATUMIA SIMU SO NIKIEDT HAPO JUU INAGOMA UKWEL NIKECHEMKA LEO KWA PICHA ZAID UNAEZA GOOGLE RACHEL HAULE....nibahat mbaya

Kama ni wewe umeaplod Capt Tamar kwa nini aseme amekosea akaapload picha ya mjomba. Au ni matipo ids.
 
Last edited by a moderator:
mkuu hakuna zindiko hapo, hizo ni failures za hospitali zetu na madaktari wake. wajawazito wanakufa kwa wingi haswa vijijini mkuu. Huduma za wazazi inabidi ziboreshwe.

Madaktari wetu wana uzembe sana, mke wangu alijifungua kwenye moja ya hospitali Arusha halafu eti wakasahau kumtoa kondo la uzazi. Alipozidiwa ndio wanakumbuka, hiyo ni baada kama ya masaa 3.
Nashukuru Mungu alipona.

R.I.P Rachel.
 
zamani ilikuwa mtu kujifungua kwa oparesheni na wachache sana wanawake walikuwa na nguvu sana ya kusukuma saivi kila mtu oparesheni duuuuu kizazi hiki laini mno
siyo kila anayejifungua kwa operation hana nguvu za kupush, wengine wanaomba tangu akijua tu ana mimba, wanasema ndio safe na kukwepa maumivu ya labor.
RIP Recho
 
Kweli mi mzee hata siwajui wasanii maarufu! Au kwa kuwa sifa zao kuu kuvaa nguo fupi na kupenda ugomvi? Haya R.I.P rachel and kuambiana!
 
Wamlaum Mungu tena???
Haya hao wabaya ni wepi ambao Mungu hawachukui???
Huo uzuri umepimwa kwa kipimo chepi hicho bi dada???
Mie nadhani pengine ungelalama Mungu anachukua watu wema tu???

i mean hachukui mijambazi ,mifisadi n.k! Anyway mungu halaumiwi!!!
 
Back
Top Bottom