Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vifo vya kina mama na watoto wachanga vinavyotokana na uzazi...I don't think we are doing enough to reduce them! Sasa kama Dar hapa mtu maarufu anafariki kwa uzazi na hospitali zote zipo hizi...je mke wa 'mlalahoi' vijijini ndani ndani huko atapona!? Nini wajibu wetu na sisi wanaume!? Tupo tupo tu..wake/dada/shangazi/binti zetu wanakufa tu! RIP Recho.
Hujanielewa na wala sijamuhukumu mtu na hakuna sehemu ambayo nimesema kwamba mimi sina dhambi, ila inaonekana imekuuma sababu na wewe ndo wale waleSo judgemental
Dhambi ni nini na kutubu ni nini.....are you sure hata wewe kwa kusema hujatenda dhambi? Shameless.....
Nilisahau nikatuma picha ya mjomba!!!
Mmmh jaman mbona mungu anachukua walio wazuri tu?? Aaah! R.i.p Recho !!
Samahani, sijakuelewa kiswahili chako! Nimetoa maoni yangu na wala sijaLOpoka!acha kulopoka tu sema tu masirahi ya wafanyakazi yaboreshwe tu kwa wote mfano magereza wakigoma wafungwa wakarudi uaraiani kutachimbika tu uhamiaji yakagoma mabokoharamu siyatakuja kutafuta bikira walimu usiseme
Unataka aweke picha ya mochuari au!!Weka pichaa hebu
BAHAT MBAYA MKUU NI MIMI NLIO APLOAD...HALAFU NATUMIA SIMU SO NIKIEDT HAPO JUU INAGOMA UKWEL NIKECHEMKA LEO KWA PICHA ZAID UNAEZA GOOGLE RACHEL HAULE....nibahat mbaya
mkuu hakuna zindiko hapo, hizo ni failures za hospitali zetu na madaktari wake. wajawazito wanakufa kwa wingi haswa vijijini mkuu. Huduma za wazazi inabidi ziboreshwe.
siyo kila anayejifungua kwa operation hana nguvu za kupush, wengine wanaomba tangu akijua tu ana mimba, wanasema ndio safe na kukwepa maumivu ya labor.zamani ilikuwa mtu kujifungua kwa oparesheni na wachache sana wanawake walikuwa na nguvu sana ya kusukuma saivi kila mtu oparesheni duuuuu kizazi hiki laini mno
yes, kwa mpangilio ulioidhinishwa na mungu mwenyezi.Kila nafs itaonja mauti
Wamlaum Mungu tena???
Haya hao wabaya ni wepi ambao Mungu hawachukui???
Huo uzuri umepimwa kwa kipimo chepi hicho bi dada???
Mie nadhani pengine ungelalama Mungu anachukua watu wema tu???
Weka pichaa hebu