Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Inasikitisha sana. Lakini njia sahihi ni kumwangukia mumewe na kurudi kwake Shinyanga.Huyu mama wa hawa marehem atakuwa katika hali mbaya. Jaribu kuwaza vijana wako ambao unategemea sasa ule matunda na wakutunze wanafariki nakukuacha, waweza kukufuru.
Lakini tukumbuke kuwa Sote ni wa Mungu tutarejea kwake na kila nafsi itaonja umauti ..Mungu ampe faraja Mama wa marehemu