YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Wachawi wanaua.Mtu mchawi aweza UA watoto wake wote hata Wawe Mia.Wewe unaweza ua mwanao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachawi wanaua.Mtu mchawi aweza UA watoto wake wote hata Wawe Mia.Wewe unaweza ua mwanao?
Wachawi wanaua.Mtu mchawi aweza UA watoto wake wote hata Wawe Mia.
Usiwe na mawazo ya hvyo ndugu,kila nafsi itaonja mauti siku yake ikifika. Huyo amefariki baada ya kuugua mda mrefu of which hua inatokea kwa watu wengne pia so sio kifo cha ajabu.Mbona watoto wa. Huyo mama wanakufa vifo vya ajabu ? Hamna uchawi kwa huyo mama au familia ya huyo mama?
Pole sanaHatar mm huko kufiwa na mtoto sikukujui ila msiba karibu niliowah kuu experience ni wa mdogo etu wa mwisho ambay nimefuatana nae kuzaliwa, wakike.
Pale ndio nilipojua uchungu wa msiba aisee.
Yale maumivu yaliniandama kwa 2 years mpaka niliolpoomba msaada wa maombi kanisani ndio ikawa pona yangu.Hatar sana.
Kwani yy ndo wa kwanza kufiwa na watoto?? Bas wote waliofiwa na watoto wao ni wachawi!!Wachawi wanaua.Mtu mchawi aweza UA watoto wake wote hata Wawe Mia.
Luga ya mnyaziﻛُﻞُّ ﻧَﻔْﺲٍ ﺫَﺁﺋِﻘَﺔُ ﺍﻟْﻤَﻮْﺕِ Surah Al Imran Ayat185 Kullu nafsin thaiqatu al'mawt
Thanks.Pole sanda ndugu
Huyu mama wa hawa marehem atakuwa katika hali mbaya. Jaribu kuwaza vijana wako ambao unategemea sasa ule matunda na wakutunze wanafariki nakukuacha, waweza kukufuru.
Lakini tukumbuke kuwa Sote ni wa Mungu tutarejea kwake na kila nafsi itaonja umauti ..Mungu ampe faraja Mama wa marehemu
Huyu mama wa hawa marehem atakuwa katika hali mbaya. Jaribu kuwaza vijana wako ambao unategemea sasa ule matunda na wakutunze wanafariki nakukuacha, waweza kukufuru.
Lakini tukumbuke kuwa Sote ni wa Mungu tutarejea kwake na kila nafsi itaonja umauti ..Mungu ampe faraja Mama wa marehemu
Sina cha kukuelezaHuyo mama atizanwe Kama sio mchawi
Kwa hiyo Mungu kaamua kumjaribu mama wa watu maskini
Daah [emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]
Hafu huyo huyo Mungu ampe ustahimilivu
Daah ngumu sana kumeza lakini acha tumeze tu hivyo hivyo [emoji23][emoji28][emoji106][emoji120][emoji16][emoji16][emoji41][emoji108]
Nimshukuru Mungu kamchukua mwananguTena makanisa ya kilokolkilokole huwa hawatak ulie wanakuambia mshukuru Mungu..arghhh
Wainnama Tuwamfauna Yaumulkiama..ﻛُﻞُّ ﻧَﻔْﺲٍ ﺫَﺁﺋِﻘَﺔُ ﺍﻟْﻤَﻮْﺕِ Surah Al Imran Ayat185 Kullu nafsin thaiqatu al'mawt
Rsst in pea eMdogo wa Marehemu Steven Kanumba, Seth Bosco amefariki usiku wa kuamkia leo baada ya kuzidiwa akiwa nyumbani kwa Mama Kanumba Kimara, DSM alipokuwa akiuguzwa kwa muda sasa baada ya kufanyiwa upasuaji kwenye uti wa mgongo.
Abela ambaye ni Dada wa Marehemu amethibitisha.
#RIPNduguYetu[emoji1431]
View attachment 1284271.
Taarifa zaidi zitatolewa baadaye.
Alipougua ghafla: Mdogo wake Kanumba apooza ghafla