TANZIA: Muigizaji Seth Bosco (Mdogo wa Marehemu Kanumba) amefariki dunia Usiku wa kuamkia leo

TANZIA: Muigizaji Seth Bosco (Mdogo wa Marehemu Kanumba) amefariki dunia Usiku wa kuamkia leo

Hiiyo opp kwa tanzania lazima uwe kilema au ufariki,mana hakuna wataalam na vifaa madokta wetu wanafanyia miili ya wagonjwa mazoezi.nina rafiki alifanyia opp hiyo muhimbili yani ilikua balaa.
Ilibidi tuchange apelekwe nairobi ndio akapona bt maumivu anapata hadi leo.

Nairobi walisema mfumo uliharibiwa na madokta wa muhimbili walivuruga au kukata mshipa mungu ni mwema anatembea ila kwashida muda wote yuko kwenye gari
Spinal cord opp zake huwa ni utata. Unaambiwa unaweza ishi ukawa zezeta au ukawa huwezi kuongea au ukafia kwenye opp table. Watu tunatatizo la hivyo lakini madaktari wote wamesema opp will be the last resort halafu mtu anakuja na mambo ya uchawi????? Seth asingefanyiwa opp labda angeweza kuishi kwa matumaini labda kama alikuwa na maji kwenye uti wa mgongo. Mtu anayeamini uchawi ujue kwao ni wachawi tena waliokubuhu.
 
Hatar mm huko kufiwa na mtoto sikukujui ila msiba karibu niliowah kuu experience ni wa mdogo etu wa mwisho ambay nimefuatana nae kuzaliwa, wakike.
Pale ndio nilipojua uchungu wa msiba aisee.
Yale maumivu yaliniandama kwa 2 years mpaka niliolpoomba msaada wa maombi kanisani ndio ikawa pona yangu.Hatar sana.
I can imagine kaka!
Kuna mshkaji wangu alifiwa na mke wake. Mpaka hivi leo hajawahi kuoa tena. Alimpenda sana mkewe. Mpaka leo ameshindwa kusahau. He is lost!
 
I can imagine kaka!
Kuna mshkaji wangu alifiwa na mke wake. Mpaka hivi leo hajawahi kuoa tena. Alimpenda sana mkewe. Mpaka leo ameshindwa kusahau. He is lost!
Sure kama umewah kufiwa na mtu wa karibu, ni rahis ku feel ile burden mtu anakua amebebeshwa moyoni.

Iahu ya mke ni delicate sana.Na huyo jamaa anahitaji msaada wa haraka vinginevyo anaweza akawa na siku chache au akaharibikiwa mazima
 
Apumzike kwa amani.. Amepambana mpaka mwisho
Mdogo wa Marehemu Steven Kanumba, Seth Bosco amefariki usiku wa kuamkia leo baada ya kuzidiwa akiwa nyumbani kwa Mama Kanumba Kimara, DSM alipokuwa akiuguzwa kwa muda sasa baada ya kufanyiwa upasuaji kwenye uti wa mgongo.

Abela ambaye ni Dada wa Marehemu amethibitisha.

#RIPNduguYetu[emoji1431]

View attachment 1284271.
Taarifa zaidi zitatolewa baadaye.

Alipougua ghafla: Mdogo wake Kanumba apooza ghafla
 
Back
Top Bottom