Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nilifanyiwa evacuation toka nilipokuwa mpaka Nairobi. That was 2001, Dr. alisema kamwe hawawezi kunifanyia opp. Nilikuwa natembea kwa magoti ila steroid zikawa zinanisaidia. Hivi ninavyoongea bado naumwa na sasa na miaka inavyoenda ndo shida lakini hakuna Dr. anayetaka kufanya hivyo na mimi nimezoea maumivu yangu. Huwa nikipata nafuu nacheza tennis kuswing lumber lakini naishi na maumivu.Hiiyo opp kwa tanzania lazima uwe kilema au ufariki,mana hakuna wataalam na vifaa madokta wetu wanafanyia miili ya wagonjwa mazoezi.nina rafiki alifanyia opp hiyo muhimbili yani ilikua balaa.
Ilibidi tuchange apelekwe nairobi ndio akapona bt maumivu anapata hadi leo.
Nairobi walisema mfumo uliharibiwa na madokta wa muhimbili walivuruga au kukata mshipa mungu ni mwema anatembea ila kwashida muda wote yuko kwenye gari
Mdogo wa Marehemu Steven Kanumba, Seth Bosco amefariki usiku wa kuamkia leo baada ya kuzidiwa akiwa nyumbani kwa Mama Kanumba Kimara,DSM alipokuwa akiuguzwa kwa muda sasa baada ya kufanyiwa upasuaji kwenye uti wa mgongo,Abela ambaye ni Dada wa Marehemu amethibitisha.
#RIPNduguYetu[emoji1431]
Source:millardayo.com
Amina.Raha ya milele umpe Ee BWANA na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani... Amina.
Pole sana, Mungu akusaidie upone uondokane na hayo maumivuMimi nilifanyiwa evacuation toka nilipokuwa mpaka Nairobi. That was 2001, Dr. alisema kamwe hawawezi kunifanyia opp. Nilikuwa natembea kwa magoti ila steroid zikawa zinanisaidia. Hivi ninavyoongea bado naumwa na sasa na miaka inavyoenda ndo shida lakini hakuna Dr. anayetaka kufanya hivyo na mimi nimezoea maumivu yangu. Huwa nikipata nafuu nacheza tennis kuswing lumber lakini naishi na maumivu.
Nashukuru ila kadiri siku zinavyosonga ndo maumivu yanazidi. Nimejaribu kupunguza uzito from 76kg mpaka 66kg hii imenisaidia kidogo ila bado maumivu ninayo. Lumber yangu moja ili trip nikiwa mdogo kwenye michezo sasa nalipa.Pole sana, Mungu akusaidie upone uondokane na hayo maumivu
pole sana nakuombea mungu akupunguzie maumivuMimi nilifanyiwa evacuation toka nilipokuwa mpaka Nairobi. That was 2001, Dr. alisema kamwe hawawezi kunifanyia opp. Nilikuwa natembea kwa magoti ila steroid zikawa zinanisaidia. Hivi ninavyoongea bado naumwa na sasa na miaka inavyoenda ndo shida lakini hakuna Dr. anayetaka kufanya hivyo na mimi nimezoea maumivu yangu. Huwa nikipata nafuu nacheza tennis kuswing lumber lakini naishi na maumivu.
Mimi nilifanyiwa evacuation toka nilipokuwa mpaka Nairobi. That was 2001, Dr. alisema kamwe hawawezi kunifanyia opp. Nilikuwa natembea kwa magoti ila steroid zikawa zinanisaidia. Hivi ninavyoongea bado naumwa na sasa na miaka inavyoenda ndo shida lakini hakuna Dr. anayetaka kufanya hivyo na mimi nimezoea maumivu yangu. Huwa nikipata nafuu nacheza tennis kuswing lumber lakini naishi na maumivu.
Siku zinasonga.Pole sna sisy!
Alikuwa ana umwa siku as mwisho mwisho alizidiwa. Nilimpigia simu kumjulia huyu mama mwenyewe mama alisema ameshakata tamaa. Na ndio mwenyewe alikuwa anamuuguza kwa kila kitu. Kwa mzazi kufiwa na mtoto inauma unamkumbuka na mtoto wako wa mwanzo. Mungu ampe nguvuMbona watoto wa. Huyo mama wanakufa vifo vya ajabu ? Hamna uchawi kwa huyo mama au familia ya huyo mama?
Alikuwa ana umwa siku as mwisho mwisho alizidiwa. Nilimpigia simu kumjulia huyu mama mwenyewe mama alisema ameshakata tamaa. Na ndio mwenyewe alikuwa anamuuguza kwa kila kitu. Kwa mzazi kufiwa na mtoto inauma unamkumbuka na mtoto wako wa mwanzo. Mungu ampe nguvu
Achana kujibizana na huyo mtu hawa ni wale wa Lumumba wanaoshinda wanaua Albino.Alikuwa ana umwa siku as mwisho mwisho alizidiwa. Nilimpigia simu kumjulia huyu mama mwenyewe mama alisema ameshakata tamaa. Na ndio mwenyewe alikuwa anamuuguza kwa kila kitu. Kwa mzazi kufiwa na mtoto inauma unamkumbuka na mtoto wako wa mwanzo. Mungu ampe nguvu
Huyu mtu anayeng'ang'ania uchawi anajua kinachofanya spinal cord kutenguka? Msijibizane naye.Hivi alipooza ghafla tu au ?
Kuna interview yake alielezea ilivyoanzaHivi alipooza ghafla tu au ?
Huyu mtu anayeng'ang'ania uchawi anajua kinachofanya spinal cord kutenguka? Msijibizane naye.