Inasikitisha sana. Lakini njia sahihi ni kumwangukia mumewe na kurudi kwake Shinyanga.Huyu mama wa hawa marehem atakuwa katika hali mbaya. Jaribu kuwaza vijana wako ambao unategemea sasa ule matunda na wakutunze wanafariki nakukuacha, waweza kukufuru.
Lakini tukumbuke kuwa Sote ni wa Mungu tutarejea kwake na kila nafsi itaonja umauti ..Mungu ampe faraja Mama wa marehemu
Uyo mume ndio anawaua hao watoto?Inasikitisha sana. Lakini njia sahihi ni kumwangukia mumewe na kurudi kwake Shinyanga.
Mie hata nashindwa amini!jaman hyu mama Mungu amtetee jaman..had nimrjikuta nawawazia wanangu!yaan unaweza patwa ukichaa hv hvSo sad jamani,kufiwa na mtoto kunauma mno
Inasikitisha sana. Lakini njia sahihi ni kumwangukia mumewe na kurudi kwake Shinyanga.
Hatar mm huko kufiwa na mtoto sikukujui ila msiba karibu niliowah kuu experience ni wa mdogo etu wa mwisho ambay nimefuatana nae kuzaliwa, wakike.So sad jamani,kufiwa na mtoto kunauma mno
Hatar mm huko kufiwa na mtoto sikukujui ila msiba karibu niliowah kuu experience ni wa mdogo etu wa mwisho ambay nimefuatana nae kuzaliwa, wakike.
Pale ndio nilipojua uchungu wa msiba aisee.
Yale maumivu yaliniandama kwa 2 years mpaka niliolpoomba msaada wa maombi kanisani ndio ikawa pona yangu.Hatar sana.
Mbona watoto wa. Huyo mama wanakufa vito vya ajabu ? Hamna uchawi kwa huyo mama au familia ya huyo mama?
Pole sanda nduguHatar mm huko kufiwa na mtoto sikukujui ila msiba karibu niliowah kuu experience ni wa mdogo etu wa mwisho ambay nimefuatana nae kuzaliwa, wakike.
Pale ndio nilipojua uchungu wa msiba aisee.
Yale maumivu yaliniandama kwa 2 years mpaka niliolpoomba msaada wa maombi kanisani ndio ikawa pona yangu.Hatar sana.
Hutaelewa kitu mpaka upoteze mtu wako wa karibu. Huyu mama imemkuta hivyo mara mbili.
Yaani sina cha kusema
Wale tunaotaka kufeed na kujiongezea umaarufu kupitia misiba na majanga ya wengine tuvute pumzi tutulie tuache lipite.