TANZIA: Muigizaji Seth Bosco (Mdogo wa Marehemu Kanumba) amefariki dunia Usiku wa kuamkia leo

Too sad,inasikitisha sana,mwenyezi mungu amweke mahali pema peponi,ameni.Naipa pole familia ya mama kanumba,maisha ndo yalivyo na kifo ni kwa kila binadamu,mbele yetu nyuma yake.Binadamu tunapaswa kuishi kwa amani na upendo,dunia haina urafiki na sisi.Daah too sad,pole sana mama yetu mungu akupe wepesi katika mtihani huu mgumu hapa duniani.
 
Mimi nilifanyiwa evacuation toka nilipokuwa mpaka Nairobi. That was 2001, Dr. alisema kamwe hawawezi kunifanyia opp. Nilikuwa natembea kwa magoti ila steroid zikawa zinanisaidia. Hivi ninavyoongea bado naumwa na sasa na miaka inavyoenda ndo shida lakini hakuna Dr. anayetaka kufanya hivyo na mimi nimezoea maumivu yangu. Huwa nikipata nafuu nacheza tennis kuswing lumber lakini naishi na maumivu.
 
Pole sana mama Kanumba, duniani wote ni wapitaji, nilimuina Seth akihojiwa na Hoyce Temu alikuwa vizuri tu jamani, RIP Seth!
 
Pole sana, Mungu akusaidie upone uondokane na hayo maumivu
 
pole sana nakuombea mungu akupunguzie maumivu
 


Pole sna sisy!
 
Mbona watoto wa. Huyo mama wanakufa vifo vya ajabu ? Hamna uchawi kwa huyo mama au familia ya huyo mama?
Alikuwa ana umwa siku as mwisho mwisho alizidiwa. Nilimpigia simu kumjulia huyu mama mwenyewe mama alisema ameshakata tamaa. Na ndio mwenyewe alikuwa anamuuguza kwa kila kitu. Kwa mzazi kufiwa na mtoto inauma unamkumbuka na mtoto wako wa mwanzo. Mungu ampe nguvu
 


Hivi alipooza ghafla tu au ?
 
Achana kujibizana na huyo mtu hawa ni wale wa Lumumba wanaoshinda wanaua Albino.
 
Aisee so sad! Kama haujawahi kufiwa Unaweza ona simple tu, omba yasikukute! Nilifiwa na mama yangu Aisee mpk leo ni Miaka 10 lakini haiwezi pita wiki sijalia kumkumbuka! Inauma Sana mungu ampe huyo mama Ujasiri tofauti na hapo Unaweza Ongea peke yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…