TANZIA Tanzia: Mwana JF mwenzetu ip_mob afariki dunia

Yes, he has passed away last night, kesho nitajua nini kimemuua brother na nitawaambia ni wapi pia atapumzishwa kwenye makao yake ya milele...
Daaahhhh....!! Aisee life is so cruel. Damn..!!
Please, naomba sana usiache kunipatia hizo updates brother. I am so shocked. He was full of life.
 
Daaahhhh....!! Aisee life is so cruel. Damn..!!
Please, naomba sana usiache kunipatia hizo updates brother. I am so shocked. He was full of life.

Hakika I was shocked nilipata taarifa usiku wa saa 6, we have been close sana kuna kipindi alikuwa anaumwa aka recover fresh akawa anaendelea na majukumu hata jioni yake naskia alikuwa vizuri tu.

Lets wait for PM results doc!
 
Yes, najua aliumwa a few weeks back hadi kulazwa, but he recovered fully.
Daaahhh...!! Ama kwa hakika hapa duniani tu wapitaji tu.
poa, naomba utanipa updates za PM na mipango ya mazishi please.
 
Yes, he has passed away last night, kesho nitajua nini kimemuua brother na nitawaambia ni wapi pia atapumzishwa kwenye makao yake ya milele...
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
[emoji26]
 
Hakika I was shocked nilipata taarifa usiku wa saa 6, we have been close sana kuna kipindi alikuwa anaumwa aka recover fresh akawa anaendelea na majukumu hata jioni yake naskia alikuwa vizuri tu.

Lets wait for PM results doc!
Kaka naomba tuwasiliane, nicheki PM; Nimejaribu kukucheki PM naona umefunga PM.
Huwezi kuamini marehemu alikua amefanya interview hapa ninapofanya kazi (nilikua mmoja wa referrees wake kweny Cv yake); Na asubuhi hii HR wetu ananiambia kuwa jana amemtafuta the whole day kumpatia offer. Kumbe ameshaitwa kwa Mungu baba..... Daaahhhhhh!! Huyu jamaa amenitoa machozi. Naomba tuwasiliane kaka, please.
Gallius
 
Dah..dah..dah...Mungu wangu[emoji3064][emoji3064][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mkuu pole sana ..hiyo nafasi hawawezi kupata wengine?
 
Mungu alifanye kaburi lake kua moja ya viwanja vya peponi..Aamiin..
Ya Rabbi Grant Us A Happy Ending(Husnul Khatimah).
Mmh kifo kinauma aisee..Dah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…