Yule anaitwa steven .ndo yule wa kulialia?!
Inamaana hapo juu hujaziona?Picha tafadhar
Kifo ni popote mkuu.Mwenyezi Mungu ampokee anapostahili, kwenye mbio za mwenge alienda kufanya nini?
Daah.. kweli mkuu nimeziona now sema nilikuwa moto bhana kuja kucomentInamaana hapo juu hujaziona?
Ajali humtokea mtu popote pale na wanaokimbiza mwenge ni binadamu c wanyamaMwenyezi Mungu ampokee anapostahili, kwenye mbio za mwenge alienda kufanya nini?