Tanzia: Mwanachama Maarufu wa Yanga, Ally Yanga amefariki kwenye ajali ya gari Dodoma

Nimesoma nikaelewa ndio maana nikacomment ikasaidia wakaedit hiyo habari. Waliripoti imetokea Mwanza kwenye mbio za mwenge wakati najua mwenge Mpwapwa.
Sidhani kama kweli ulisoma ukaelewa kabla huja comment. Mwanza umeiingiza wewe; haikuwepo kabla. Ndiyo tatizo la kukurupuka.
 
Poleni sana ndugu na jamaa.. Kwenye kipindi hki cha majonzi.. R.I.P
 
Andika tu Kiswahili....
Umeona mkuu, sikutaka kucomment hilo ng'eng'e ila bora kutumia lugha yetu tu. Alafu kiswahili mbona kinaeleweka tu ila sio hiyo [It couldn't]
 
Apumzike kwa jamani mwanayanga mwenzangu eeh Mungu weka roho yake salama.
 
Sidhani kama kweli ulisoma ukaelewa kabla huja comment. Mwanza umeiingiza wewe; haikuwepo kabla. Ndiyo tatizo la kukurupuka.
Tatizo la kuijua JF ukubwani. Ushamba unakusumbua sio akili zako.
 
RIP. Tanzania imepoteza shabiki wa kweli
 
Ali alikuwa na kikundi chake cha kutumbuiza ,nimemuona mikoa ya kusini mwezi wa 5/16/2017 akitumbuiza kwenye sherehe za mwenge.Upumzike kwa amani Ali ,kazi yako umeshaimaliza kaka
Ali amekuwa akishiriki katika matukio mbalimbali hata ambayo sio ya kimichezo. Mfano aliwahi kuonekana kwenye kampeni za uchaguzi za chama kimoja hapa Tanzania mwaka 2015.[/QUO
 
Gari yenye Namba AZF inawezaje kukimbiza mwenge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…