TANZIA: Mwanachama mwenzetu National Anthem amefiwa na mapacha wake

TANZIA: Mwanachama mwenzetu National Anthem amefiwa na mapacha wake

Analyse

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2014
Posts
17,637
Reaction score
47,413
Siku chache zilizopita Intelligent businessman alianzisha Uzi wa kumpongeza National Anthem kwa kupata watoto mapacha katika uzao wake wa kwanza Pongezi mwanaJF "National Anthem, kwa kupata watoto mapacha

Kwa bahati mbaya, taarifa zilizonifikia mida hii ni kwamba hao watoto hatunao tena.

Natoa pole kwa National Anthem pamoja na familia yake kwa ujumla. Tukiwa kama wanachama wenzake, tutumie comment box au PM kumfariji na kumpa pole.
Pole nyingi zimuendee yeye na shemeji yetu .

Allah ampe wepesi kipindi hichi kigumu.
 
R.I.P little twins 😥
 

Attachments

  • images (14).jpeg
    images (14).jpeg
    8.1 KB · Views: 27
Back
Top Bottom