TANZIA: Mwanachama mwenzetu National Anthem amefiwa na mapacha wake

TANZIA: Mwanachama mwenzetu National Anthem amefiwa na mapacha wake

Ulimi wangu hauwezi kuwa shubiri kwa kuhoji sababu za vifo.

Ina maana waombolezaji watakaokuja msibani hapaswi mtu kuuliza vifo vimetokeaje manake ataambiwa ni shubiri kwa wafiwa ? Wala MC wa msiba hatatoa maelezo ya historia ya watoto kuugua mpaka kufa ? Ni kimya tu ? Basi utakuwa msiba wa wachawi. Wamewatoa watoto kafara kutafuta utajiri wa U-freemason. Na ingekuwa Ulaya wazazi wangekuwa prime suspects, serikali ingetaka kujua what the hell happened to the poor kids.

Kuwaenzi hao watoto ni kutafuta nini kilichowaua, sio kuwa silence wanaohoji. Ten freaking pages of thoughtless condolences and commiseration that do nothing toward understanding the cause of death or, if possible, prevention of such incidents. Demonstrably ignorant society.
Hawataki maulizo Dada tukae msibani kimya kimya tafadhali 😂😅😅 Dj niletee wafiwa wasaidizi tafadhali
 
Back
Top Bottom