Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
RIP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msamehe bure, hajui asemalo.Una Uhuru wa maomi,Ila nenda ukatubu kwa hiki ulichonena.Nasisitiza nenda utubu
Kwani alipowazaa aliesema yeye?habari alileta member mwingine na msiba hivyohivyo.,,,acheni kuendelea kuumiza wenzenu wanapokuwa kwenye maumivu.....Inakugharimu nini ulimi wako kufanyika faraja kwa wenzio?au Kuna faida gani ulimi wako kufanyika shubiri kwa wenzio?.....Not goodSiwezi kwenda kutubu kwa sababu eti nimedai details za mazingira ya vifo vya watoto.
What if watoto wamekufa kwa uzembe wa wazazi au wauguzi ? Kuna la kujifunza ? Tusipohoji hata Mungu mwenyewe anatuona ma idiot.
Wenzetu wazungu wakipoteza mpendwa wao wanageuka wanaharakati wa tatizo la kijamii lililopelekea kifo husika. Ndio maana wanaweza kugundua tiba na kuboresha maisha ya binadamu. Hii mi page kumi na nane ya pole na ahsante haisaidii kitu.
And yes, wapo wazazi wanaotupa vichanga majalalani. Ulipozaa ulisema, ulipofiwa husemi. Bana wee, umewatoa kafara!
Siwezi kuwa shubiri kwa kuhoji sababu za vifo.Kw
Kwani alipowazaa aliesema yeye?habari alileta member mwingine na msiba hivyohivyo.,,,acheni kuendelea kuumiza wenzenu wanapokuwa kwenye maumivu.....Inakugharimu nini ulimi wako kufanyika faraja kwa wenzio?au Kuna faida gani ulimi wako kufanyika shubiri kwa wenzio?.....Not good
Ustaarabu sio kiingereza rafiki,Bora wajinga wanaonyamaza kuliko mropokaji anayeropoka chochote akiamini kastaarabika.Ulimi wangu hauwezi kuwa shubiri kwa kuhoji sababu za vifo.
Ina maana waombolezaji watakaokuja msibani yeyote atakaeuliza imekuaje hili balaa kutokea atakuwa shubiri kwa wafiwa ? Wala MC wa msiba hatatoa maelezo ya historia ya watoto kuugua mpaka kufa ? Ni kimya tu ? Basi utakuwa ni msiba wa wachawi. Wamewatoa watoto kafara wakiamini utajiri wa U-freemason. Na ingekuwa Ulaya wazazi wangekuwa prime suspects, serikali ingetaka kujua what the hell happened to the poor kids.
Kuwaenzi hao watoto ni kutafuta nini kilichowaua, sio kuwa silence wanaohoji. Ten freaking pages of thoughtless condolences and commiseration that do nothing toward understanding the cause of death or prevention of such incidents, if possible. Demonstrably ignorant society.
Huu sio mjadala kuhusu matumizi ya lugha ya Kiingereza, hiyo ni lugha tu kama Kidengeleko.Ustaarabu sio kiingereza rafiki,Bora wajinga wanaonyamaza kuliko mropokaji anayeropoka chochote akiamini kastaarabika.
Kwanini uliwaatack Wazazi wametoa watoto kafara?unaweza pima uzito wa maneno yako kwa mzazi aliyepoteza mtoto?unajifanya mjuaji huku unaamini upuuzi wa freemasons?huna ulijualo dada.....hebu stop kunitag maana hujitambuiHuu sio mjadala kuhusu matumizi ya lugha ya Kiingereza, hiyo ni lugha tu kama Kidengeleko.
Ustaarabu wa kuogopa kuuliza watoto wamekufaje ni ulemavu wa akili.
Mtoto mchanga akifa wakati anazaliwa by law kunafanyika uchunguzi kwenye hospitali za Halmashauri. Wamekufa kufaje. Sasa kama serikali inajali kufuatilia kichanga kilichopoteza maisha kwa nini sisi uraiani tunapofiwa na vichanga tusihoji sababu ?
Wazazi watoe maelezo ya mazingira ya vifo vya watoto. Vinginevyo watoto wafanyiwe postmortem exams kabla ya mazishi. Tunatumia kodi kufanya colorectal exams ku solve jinai za ushoga, hapa kuna possible crimes of negligent, if not premeditated, homicide. Exponentially more serious issue.
mbona unaendelea kuni quote kama hutaki ku engage na mimi ?Kwanini uliwaatack Wazazi wametoa watoto kafara?unaweza pima uzito wa maneno yako kwa mzazi aliyepoteza mtoto?unajifanya mjuaji huku unaamini upuuzi wa freemasons?huna ulijualo dada.....hebu stop kunitag maana hujitambui