TANZIA: Mwanachama mwenzetu National Anthem amefiwa na mapacha wake

TANZIA: Mwanachama mwenzetu National Anthem amefiwa na mapacha wake

Acheni kuanika maisha yenu mitandaon.

Uzungu mwingi mwishoe mnaharibu maisha yenu, naandika haya nikimaanisha humu si wote wenye mioyo mizuri, endeleeni kujianika muendelee kujiharibia maisha.

Ni hilo tu.
Kwa hiyo ni husda imesababisha
Labda!!!
 
Nimesoma hii habari nimeshtuka sana, pole kwake watoto mapacha Hadi ku survive Tena Hadi kuzaliwa Huwa ni neema ya Mungu
 
Acheni kuanika maisha yenu mitandaon.

Uzungu mwingi mwishoe mnaharibu maisha yenu, naandika haya nikimaanisha humu si wote wenye mioyo mizuri, endeleeni kujianika muendelee kujiharibia maisha.

Ni hilo tu.
Hata Mimi niliwaza hivi hivi, pole kwao Kwa kipindi kigumu
 
duh pole kwawafiwa
ila mambo ya mtandao tupunguze kujianika sana
Kweli nilitaka kusema ila nikaona nitachambwa nikaa kimya ila yeye hakujitangaza ni mtu wa humu mbeya alijitangaza maana alipewa ujumbe Kwa Siri akatangaza bila ridha a ya watu
 
Una Uhuru wa maomi,Ila nenda ukatubu kwa hiki ulichonena.Nasisitiza nenda utubu
Siwezi kwenda kutubu kwa sababu eti nimedai details za mazingira ya vifo vya watoto.

What if watoto wamekufa kwa uzembe wa wazazi au wauguzi ? Kuna la kujifunza ? Tusipohoji hata Mungu mwenyewe anatuona ma idiot.

Wenzetu wazungu wakipoteza mpendwa wao wanageuka wanaharakati wa tatizo la kijamii lililopelekea kifo husika. Ndio maana wanaweza kugundua tiba na kuboresha maisha ya binadamu. Hii mi page kumi na nane ya pole na ahsante haisaidii kitu.

And yes, wapo wazazi wanaotupa vichanga majalalani. Ulipozaa ulisema, ulipofiwa husemi. Bana wee, umewatoa kafara!
 
Back
Top Bottom