EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,099
- 25,347
Mkuu National Anthem pole kwa unayopitia kwa sasa, naamini Mungu yu pamoja nawe juu ya hili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana kwa kuugua ghaflaMungu wangu mpaka tumbo limeniuma, pole sana ndugu yangu National Anthem Mungu akawe mfariji katika kipindi kigumu.
Nasoma reply yako ila daaah nikiangalia avatar yako inanifanya nione kama unatania.R.i.P School mates, Mungu awapokee kwa amani...🙏
Asante sana mkuu nipo sawa kwa sasa, kama mama ni ngumu sana kusoma taarifa kama hizi ukawa sawa. Nimekaa namuomba Mungu atulindie watoto wetu jamani. Sipatii picha mama mwenzangu hali aliyo nayo huko na sitaki kuvaa viatu vyake kabisa. Mungu awafariji tuu.Pole sana kwa kuugua ghafla
Uhali gan kwa sasa
Poleni sana kwa msiba . Mungu awatangulie katika shida hii.Natoa pole zangu za dhati kwa Wazazi hakika ni msiba mkubwa na Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu,
Rest easy Angels 🤍🤍
just like that ?So sad,mwaka2011 mwezi Machi sitosahau,nilijaliwa mapacha wote wa kiume nilifurahi Sana baada ya wiki tatu sikulala usiku mmoja watoto walisumbua kwa kulia asubuhi nikawaaisha hispitali baada ya siku mbili akaanza kulwa kufaliki baadae doto,na wakati huo Niko mbali na nyumbani mkoa tofauti niliteseka Sana kimawazo.Pole Sana kaka najua Ni ngumu kupokea.
.just like that ?
hakuna maelezo ya nini kilitokea medically or otherwise?
basi vipacha vili starve to death au uliwatoa kafara uwe freemason
Una Uhuru wa maomi,Ila nenda ukatubu kwa hiki ulichonena.Nasisitiza nenda utubujust like that ?
hakuna maelezo ya nini kilitokea medically or otherwise?
basi vipacha vili starve to death au uliwatoa kafara uwe freemason
umeongea kwa uchungu sanaAcheni kuanika maisha yenu mitandaon.
Uzungu mwingi mwishoe mnaharibu maisha yenu, naandika haya nikimaanisha humu si wote wenye mioyo mizuri, endeleeni kujianika muendelee kujiharibia maisha.
Ni hilo tu.