TANZIA: Mwanachama mwenzetu National Anthem amefiwa na mapacha wake

TANZIA: Mwanachama mwenzetu National Anthem amefiwa na mapacha wake

Siku chache zilizopita Intelligent businessman alianzisha Uzi wa kumpongeza National Anthem kwa kupata watoto mapacha katika uzao wake wa kwanza Pongezi mwanaJF "National Anthem, kwa kupata watoto mapacha

Kwa bahati mbaya, taarifa zilizonifikia mida hii ni kwamba hao watoto hatunao tena.

Natoa pole kwa National Anthem pamoja na familia yake kwa ujumla. Tukiwa kama wanachama wenzake, tutumie comment box au PM kumfariji na kumpa pole.
Innaaa lillaaah wainnaaa ilaih raaajiun


Majaribu ni sehem ya mungu kutupima iman km alivyowapima waliotutangulia


Ingawaje inauma lkn lazima mkubal kuwa hilo ni jaribu na mnapaswa kulivuka


Mungu awafanyie wepes mpate watoto wengine wengi tu kadr itakavyompendeza
 
Back
Top Bottom