Dahan
JF-Expert Member
- Oct 26, 2022
- 2,572
- 5,945
Mnhh yaanii😔😔😔yani hizi taarifa mimi zinaniumiza jaman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnhh yaanii😔😔😔yani hizi taarifa mimi zinaniumiza jaman
Kuna director mmoja sio MTANZANIA niliwai kua nae karib...duh pole kwawafiwa
ila mambo ya mtandao tupunguze kujianika sana
maishe yako binafsi maana yake ni yako haina haja watu kuyajua tena kwenye mtandao ambao hausahau.Kuna director mmoja sio MTANZANIA niliwai kua nae karib...
Akanambia nisipende kuanika maisha yangu kwenye social media....
Ni kama Ali cement hii point ya kuto kuweka maisha binafsi on-line....
Natamani kusikia kutoka kwako kwanini umesema ivyo? Kama hauto jali tell us....
All in all ,
Sote safari yetu ni Moja siku Moja lazima tutakufa....
Pole sana ndugu yangu National Anthem
Ni kipindi kigumu mno kuondokewa na uzao hasa ule wa kwanza.. Pole sana National Anthem kwa mtihani huu uliojaa maswali mengi.. Tuko pamoja naweSiku chache zilizopita Intelligent businessman alianzisha Uzi wa kumpongeza National Anthem kwa kupata watoto mapacha katika uzao wake wa kwanza Pongezi mwanaJF "National Anthem, kwa kupata watoto mapacha
Kwa bahati mbaya, taarifa zilizonifikia mida hii ni kwamba hao watoto hatunao tena.
Natoa pole kwa National Anthem pamoja na familia yake kwa ujumla. Tukiwa kama wanachama wenzake, tutumie comment box au PM kumfariji na kumpa pole.