dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
Pole sana EE Engineer
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mama D, habari ya leoPole sana jamani
Dah...pole nyingi sana kwake kwa jaribu hili. Mungu amjalie utulivuSiku chache zilizopita Intelligent businessman alianzisha Uzi wa kumpongeza National Anthem kwa kupata watoto mapacha katika uzao wake wa kwanza Pongezi mwanaJF "National Anthem, kwa kupata watoto mapacha
Kwa bahati mbaya, taarifa zilizonifikia mida hii ni kwamba hao watoto hatunao tena.
Natoa pole kwa National Anthem pamoja na familia yake kwa ujumla. Tukiwa kama wanachama wenzake, tutumie comment box au PM kumfariji na kumpa pole.
Pole sana National Anthem MAY YOUR KIDS R I PSiku chache zilizopita Intelligent businessman alianzisha Uzi wa kumpongeza National Anthem kwa kupata watoto mapacha katika uzao wake wa kwanza Pongezi mwanaJF "National Anthem, kwa kupata watoto mapacha
Kwa bahati mbaya, taarifa zilizonifikia mida hii ni kwamba hao watoto hatunao tena.
Natoa pole kwa National Anthem pamoja na familia yake kwa ujumla. Tukiwa kama wanachama wenzake, tutumie comment box au PM kumfariji na kumpa pole.
Pole Sana mkuu Mr National AnthemSiku chache zilizopita Intelligent businessman alianzisha Uzi wa kumpongeza National Anthem kwa kupata watoto mapacha katika uzao wake wa kwanza Pongezi mwanaJF "National Anthem, kwa kupata watoto mapacha