Tanzia: Mwanafunzi wa kidato cha kwanza Kizimkazi Raiyan Hemed Amour auawa kinyama.

Tanzia: Mwanafunzi wa kidato cha kwanza Kizimkazi Raiyan Hemed Amour auawa kinyama.

Jemima Mrembo

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
3,029
Reaction score
8,823
1791171671507.jpg


Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza katika Shule ya Kizimbani aitwaye Raiyan Hemed Amour, amepatikana akiwa amefariki Oktoba 4, 2026, baada ya kuanza kutafutwa tangu Ijumaa, huku akiwa amekatwa mkono Mmoja.
 
View attachment 3683982

Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza katika Shule ya Kizimbani aitwaye Raiyan Hemed Amour, amepatikana akiwa amefariki Oktoba 4, 2026, baada ya kuanza kutafutwa tangu Ijumaa, huku akiwa amekatwa mkono Mmoja.
Ni ndugu yake yule gaidi aliyeua maelfu ya watanzania? Kama ndiyo basi kifo ni kifo tu kama siyo, natoa salamu za pole kwa familia ndugu jamaa na marafiki.
 
Loh! Kwa nini mwanadamu amekuwa hatari kwa kiwango hiki! Mtoto huyo amefanya nini hata kustahili haya!!
Halafu anatokea mtu anasema wazungu na waarabu walileta hizi dini ili watutawale.

Hawa wanaofanya vitendo vya kinyama ni kukosa hofu ya Mungu na huruma.
Binadamu tumekosa utu,na huruma Kwa binadamu wenzetu
 
Back
Top Bottom