Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 3,029
- 8,823
- Thread starter
- #21
Kila sehemu ni KizimkaziJuu Kizimkazi na huku chini Kizimbani mboni hatuelewi hii taarifa?
Kila sehemu ni KizimkaziJuu Kizimkazi na huku chini Kizimbani mboni hatuelewi hii taarifa?
Acha ufala wewe, samia alishasema kifo ni kifo tu na uislamu unasema hivyo piaKwa akili yako unahisi sijaelewa lakini wewe na baadhi ya member humu mnacoment kidini,eti kwakuwa mtoto aliyekufa ni muisilamu basi mnafurahia.na kuingizia maneno ya kejeli poleni sana.
Dini zisitugawe,tupendane,tuoneane huruma
Basi sawa mkuuAcha ufala wewe, samia alishasema kifo ni kifo tu na uislamu unasema hivyo pia
Yes kama ni ndugu yakesamia basi mwambieni samia kifo ni kifo tu.Basi sawa mkuu
Vipi walio uawa Oct 29 hawakuwa na wazazi? Tena bora huyu wazazi wake watamzika, vipi wale wazazi wao je?Muonee huruma huyo binti na wazazi wake,hebu fikiria ungekuwa mzazi jamaa ama ndugu.
Tena Kwa kukatwakatwa
Sasa je? Sahivi Fwele boi anaingia popote.Duh,
Kwa hiyo utekaji na mauaji vimeanza kurindima Zenji!
Mbona heading umeandika Kizimkazi? Una maana gani?View attachment 3683982
Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza katika Shule ya Kizimbani aitwaye Raiyan Hemed Amour, amepatikana akiwa amefariki Oktoba 4, 2026, baada ya kuanza kutafutwa tangu Ijumaa, huku akiwa amekatwa mkono Mmoja.
Mimi si mpuuzi,tambua hili.Vipi walio uawa Oct 29 hawakuwa na wazazi? Tena bora huyu wazazi wake watamzika, vipi wale wazazi wao je?
Mpuuzi wewe.
Em usinitishe huko wewe, na blah blah zako.Mimi si mpuuzi,tambua hili.
Oct 29 hakukuwa na maandamano,bali fujo zilizosababisha uvunjifu wa Amani na uharibifu wa Mali na miundombinu sasa nikwambie tu kuwa mpuuzi ni wewe na uzao wako usiyejuq nini maana ya maandamano.
Au wewe ndiye ulitoa kibali watu waandanane.
Maandamano huhusisha vibali kutoka mamlaka husika,huku waandamanaji wakibeba mabango yenye ujumbe wa kufikisha madai na matakwa yao.
Kama ilivyo kwenye msafara wa mamba nyie kenge huwa hamkosi, maandamano huhusisha Askari kutoka jeshi la Polisi ili kuhakikisha usalama pamoja na Mali za watu.
Wee binti umeniudhi Sana kumbuka nakufahamu hata Sura yako hivyo kama kitaalamu
Itakuwa mfuasi wa Gwajiboy wewe mwenye chuki za kidiniNi ndugu yake yule gaidi aliyeua maelfu ya watanzania? Kama ndiyo basi kifo ni kifo tu kama siyo, natoa salamu za pole kwa familia ndugu jamaa na marafiki.
Ukute tayari Mafwele ana washirika wake hukoSasa je? Sahivi Fwele boi anaingia popote.
😂😂😂
Samia ni mfuasi wa nani?Itakuwa mfuasi wa Gwajiboy wewe mwenye chuki za kidini