labda ni "honor killing" nchi nyingi za asia hasa arabic, uturuki na nyinginezo wana-practice honor killing ambapo unakuta mtoto mara nyingi wa kike anafanya jambo ambalo linaiabisha familia inaweza kuwa kukataa kuolewa na xyz, kutaka talaka, kubadilisha dini, au hata mavazi labda binti anakataa kuvaa hijab, hivyo kwa sababu binti anakuwa ameifedhehesha familia wanaamua kumuua ili kuilinda heshima ya familia, inaitwa "honor killing", sijawahi kuisikia zanzibar na wala sisemi kama ni honor killing kwa maana zisijui details za kifo lkn kila kitu kinawezekana ...