TANZIA: Mwanahabari mkongwe, Bi Sarah Dumba afariki dunia ghafla akiwa Njombe

dubu

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
3,502
Reaction score
3,483

ALIYEKUWA mkuu wa wilaya ya Njombe na mwanahabari mkongwe Bi Sarah Dumba amefariki dunia ghafla akiwa wilayani Njombe mkoa wa Njombe.

Mkuu huyu wa Wilaya amefariki usiku huu kwa Presha na mwili wake umehifadhiwa Hospitali ya Wilaya ya Njombe, Kibena
 
RIP SARA MTANGAZAJI MAHIRI,HUKO KEA U DC SIJUI!
 
" Aliyekuwa". Wakuu sina habari, hivi alishaondolewa kwenye ukuu wa wilaya!?
 
R. I. P
 
r.i.p,alikuwa na hofu ya kutumbuliwa nini?maana kuna yule d.e.d wa halmashauri ya wilaya ya maswa nae aliaga dunia karibu kwa mtindo huu huu!
 
Inna Lillah, Wainna Lilahai Raajurun!! Mungu Amsamehe Makosa Yake Na Ampuzishe Pahala Pema! Amin Amin Inshalah!! Kumbe Bado Tu Alikuwa DC!!! Duuuuh!!
 

R I P Mama na mwana!
 
Jamani kuna umuhimu wa kuheshimu umri wa kustaafu na kukubali kupumzika, vifo vingine vya kujitakia hivi, tangu nimemsika redioni sijaanza shule leo na mimi nafanya kazi nae yumo tu? Hizi presha zingine nazo ni mwili kuchoka kutokana na umri kushindwa kutimiza wajibu, ajabu kwetu wastaafu ndio wana ajiriwa upya! R.I.P .
 
Rip Sara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…