Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,629
pumzika kwa amani mama yetu!View attachment 331610
Upumzike kwa Amani Sarah Dumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pumzika kwa amani mama yetu!View attachment 331610
Upumzike kwa Amani Sarah Dumba
Hata yeye kuna kipindi aliwaii kukuendeshaaa ulikuwa mdogoo hukumbuki yooteUsichanganye na Debora Mwenda
Poleni wafiwa. Namkumbuka kipindi cha mama na mwana RTD.
ALIYEKUWA mkuu wa wilaya ya Njombe na mwanahabari mkongwe Bi Sarah Dumba amefariki dunia ghafla akiwa wilayani Njombe mkoa wa Njombe.
Mkuu huyu wa Wilaya amefariki usiku huu kwa Presha na mwili wake umehifadhiwa Hospitali ya Wilaya ya Njombe, Kibena
Ameshakufa ndo maana ni vyema kutumia neno 'aliyekuwa'kwa maana hayupo kwenye nafasi hiyo tena." Aliyekuwa". Wakuu sina habari, hivi alishaondolewa kwenye ukuu wa wilaya!?
sifahamu chochote kuhusu huyu mamaMaskini...Mama Na Mwanaaa..watoto wasafii moyoni Ni nyota ya machoo ya wazaziii sisi Ni mauaa tuliopandwa Na Mungu mwenyeziii...Hukasirikaa Na wenzaoo Mara hupatana Na wenzaoo..watoto wasafi moyoni Hawana Hiraaa moyoniii...×.........
Mama ni mwanahabar wa kale alikuwa naendesha kipindi cha mama na mwana RTDsifahamu chochote kuhusu huyu mama
naomba unifahamishe huu wimbo siulikuwa unaimbwa kipindi cha watoto cha radio one na ile sauti ni yake
pumzika kwa amani
Jamani kuna umuhimu wa kuheshimu umri wa kustaafu na kukubali kupumzika, vifo vingine vya kujitakia hivi, tangu nimemsika redioni sijaanza shule leo na mimi nafanya kazi nae yumo tu? Hizi presha zingine nazo ni mwili kuchoka kutokana na umri kushindwa kutimiza wajibu, ajabu kwetu wastaafu ndio wana ajiriwa upya! R.I.P .
But they belong to the same age debora ana asili ya Zimbabwe nadhaniUsichanganye na Debora Mwenda
ALIYEKUWA mkuu wa wilaya ya Njombe na mwanahabari mkongwe Bi Sarah Dumba amefariki dunia ghafla akiwa wilayani Njombe mkoa wa Njombe.
Mkuu huyu wa Wilaya amefariki usiku huu kwa Presha na mwili wake umehifadhiwa Hospitali ya Wilaya ya Njombe, Kibena