hussein boxer
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 831
- 335
Rip
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani kuna umuhimu wa kuheshimu umri wa kustaafu na kukubali kupumzika, vifo vingine vya kujitakia hivi, tangu nimemsika redioni sijaanza shule leo na mimi nafanya kazi nae yumo tu? Hizi presha zingine nazo ni mwili kuchoka kutokana na umri kushindwa kutimiza wajibu, ajabu kwetu wastaafu ndio wana ajiriwa upya! R.I.P .
R.I.P Sarah Dumba
Jamani kuna umuhimu wa kuheshimu umri wa kustaafu na kukubali kupumzika, vifo vingine vya kujitakia hivi, tangu nimemsika redioni sijaanza shule leo na mimi nafanya kazi nae yumo tu? Hizi presha zingine nazo ni mwili kuchoka kutokana na umri kushindwa kutimiza wajibu, ajabu kwetu wastaafu ndio wana ajiriwa upya! R.I.P .
Kuna umri unatakiwa hawa wazee wakae nyumbani tu, la sivyo matoke yake ndio haya majukumu mwngi presha juu na mtu from nowhere anakufaAkizungumza na Eatv, mkuu wa mkoa wa Njombe Dkt Rehema Nchimbi amethibitisha kutokea kwa msiba huo, na kueleza kuwa marehemu Sarah amefariki majira ya saa moja jioni katika hospitali ya Kibena mjini Njombe ambapo alipelekwa kwa ajili ya uangalizi wa kiafya.
Dkt Nchimbi amesema kuwa, haijafahamika nini kilichosababisha kifo hicho, lakini huenda ikawa ni "Mshituko" maana leo asubuhi aliwasili ofisini kama kawaida, na kuendelea na shughuli zake akiwa hana tatizo.
Ameendelea kueleza kuwa, akiwa ofisini kwake, alianza kusema kuwa anajisikia vibaya, na kuamua kugawa majukumu yake kwa watendaji wengine, lakini hali yake ilizidi kutia mashaka na ndipo akapelekwa hospitali.
Dkt Nchimbi amesema, akiwa hospitali hali ilibadilika ndani ya muda mfupi na kuanza kutapika, na ilipofika majira ya saa moja alifariki dunia.
"Nadhani inaweza kuwa ni tension maana tupo kwenye maandalizi ya kilele cha maadhimisho ya wiki ya maji, na yeye amekuwa akishughulika sana na maandalizi hayo ambayo kilele chake ni kesho, sasa leo amefika ofisini kama kawaida, lakini baadaye akasema hajisikii vizuri, baadhi ya kazi akatuma watu, baadaye alikwenda hospitali, lakini muda mfupi baada ya kufika hali ikabadilika, akatapika sana na hapo ndipo alipopoteza maisha" Amesema Dkt Nchimbi.
Mkuu huyo wa mkoa amesema mipango ya maziko itatangazwa baadaye kesho, lakini kwa taarifa za awali alizonazo ni kwamba huenda akapelekwa nyumbani kwao ambapo ni Dar es salaam, ingawa kuna taarifa nyingine zi adai kuwa nyumbank kwao ni Morogoro.
Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu Sarah Dumba. Amin
Ameshaondolewa nafasi yake na kifo" Aliyekuwa". Wakuu sina habari, hivi alishaondolewa kwenye ukuu wa wilaya!?
ripALIYEKUWA mkuu wa wilaya ya Njombe na mwanahabari mkongwe Bi Sarah Dumba amefariki dunia ghafla akiwa wilayani Njombe mkoa wa Njombe.
Mkuu huyu wa Wilaya amefariki usiku huu kwa Presha na mwili wake umehifadhiwa Hospitali ya Wilaya ya Njombe, Kibena
Hata mkuu wa mkoa keshasema sababu ni majukumu mengi, kesho wiki ya maji mama kji overdose kazi, huku woga wa kutumbuliwa piaJamani kuna umuhimu wa kuheshimu umri wa kustaafu na kukubali kupumzika, vifo vingine vya kujitakia hivi, tangu nimemsika redioni sijaanza shule leo na mimi nafanya kazi nae yumo tu? Hizi presha zingine nazo ni mwili kuchoka kutokana na umri kushindwa kutimiza wajibu, ajabu kwetu wastaafu ndio wana ajiriwa upya! R.I.P .
Ana watoto wanne na wajukuu 3RIP Bi Sarah Dumba
wanaomjua tujazieni na wasifu wake kifamilia
kwanini bado aliitwa Bi sara Dumba ?
ana watoto wangapi
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI
hata kama alikuwa mwanaccm , tunamuomba Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali inapostahili .
Mama alikuwa anapiga kazi sana sanaaaa,sio rahisi kukumta ofisini, au kukaa kwenye kikao kimoja mpaka kiishe,akishatekeleza jukumu lake kwenye kikao alikua anaenda kwenye majukumu mengine, na hata gari aliyokuwa anatumia ni landcruser old model roho ya paka sababu alikuwa ni mchanja vijiji kwa vijiji. Huyu alikuwa ni hapa kazi ru hata kabla ya magufuliHata mkuu wa mkoa keshasema sababu ni majukumu mengi, kesho wiki ya maji mama kji overdose kazi, huku woga wa kutumbuliwa pia
Vizuri havidumuMama alikuwa anapiga kazi sana sanaaaa,sio rahisi kukumta ofisini, au kukaa kwenye kikao kimoja mpaka kiishe,akishatekeleza jukumu lake kwenye kikao alikua anaenda kwenye majukumu mengine, na hata gari aliyokuwa anatumia ni landcruser old model roho ya paka sababu alikuwa ni mchanja vijiji kwa vijiji. Huyu alikuwa ni hapa kazi ru hata kabla ya magufuli
Huo ni uvivu wako tu ktk kufikiri!Jamani kuna umuhimu wa kuheshimu umri wa kustaafu na kukubali kupumzika, vifo vingine vya kujitakia hivi, tangu nimemsika redioni sijaanza shule leo na mimi nafanya kazi nae yumo tu? Hizi presha zingine nazo ni mwili kuchoka kutokana na umri kushindwa kutimiza wajibu, ajabu kwetu wastaafu ndio wana ajiriwa upya! R.I.P .