Tanzia: Mwanamuziki Geez Mabovu aaga dunia

Hivi hawa wasanii wanaotumia ngada huwa hawajiulizi kwanini KALAPINA pamoja na uhuni wake wote alioufanya but still hatumii hizo mambo?
 

anajua sana hasa ngoma yake ya 'kawambie madogo' imetulia sana
 
hawa masela wakijaga town wanaishia kwenye ma group ya ovyo..wanataka kuwa wajanja kuliko wazawa..kuiga sana unyamwezini sio ujanja..ila ngoma zake za dakika sifuri na mtoto wa kiume ni soo...R.I.P

Mkuu mbona unawasema wakuja wakat we mwenyewe umeiga jina la Marehem aliyekufa na UKIMWI huko L.A Compton?
 
Hivi hawa wasanii wanaotumia ngada huwa hawajiulizi kwanini KALAPINA pamoja na uhuni wake wote alioufanya but still hatumii hizo mambo?

Geez sidhani kama alianza ngada. Nimeishi nae kitaa kimoja nae kino ufipa street ilikua ni konyagi sana from mornie to evening. Niliondoka 2012 kwenda chuo niliporudi nikameet nae kino studio Kausha records sikuwahi kumuona au kugundua akitumia unga. Ila pombe hasa Konyagi saana tu yani kwa hilo mimi shahidi. Hii ya drugs/sembe naona wanamchafua tu
 
Mkuu mbona unawasema wakuja wakat we mwenyewe umeiga jina la Marehem aliyekufa na UKIMWI huko L.A Compton?

we kama unaona kuiga jina ni sawa na kuiga kula unga sijui nisemeje..
 

Sema sio issue baharia kaacha Copy inaitwa Nasra
 
Tatizo la figs limetokana na nini? Acha ubishi wa kijinga mteja wa unga anaonekana vizuri tu, viroba yule walaa, Arusha alipoamia tena akawa mshkaji na pusha wa Poda unategemea nini? Acha kubishabisha tu.

Mkuu acha uongo bhana Geez hakutumia nasema hili mana nimeishi nae kitaa kimoja jamaa ilikua ni tungi konyagi kwa saana hii ya drugs mnamchafua tu. Rip jembe. Chief of Dirty south dawg
 
Juzi kuna mada ya unga tulikua tunajadili humu na kuna member alisema geez bovu alikua anapiga viroba bila kula hadi figo zikafeli.

Leo kafariki.


Nyimbo zake zitaanza kupigwa Leo usiku

Ulicho sema ni kweli. Mtaani tulikuwa pamoja pale Kinondoni B bar inayoitwa Aika na tulicheza nae sana mchezo wa pooltable hivyo viroba na unga alikuwa anapiga sana tu.
Unga na viroba utawamaliza sana watumiaji. Apumzike anapostahili.
 
rest in peace nigger,dah! geez mabovu i can't believe bro,my best friend
 
"Jisaachi kabla mfuko haujatoboka full msimbazi kama adili wa choka,tembeza mbili mbili mabovu ndio atakayelipa hii bill"--#JISACHI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…