Tanzia: Mwanamuziki Geez Mabovu aaga dunia

Tanzia: Mwanamuziki Geez Mabovu aaga dunia

Hivi hawa wasanii wanaotumia ngada huwa hawajiulizi kwanini KALAPINA pamoja na uhuni wake wote alioufanya but still hatumii hizo mambo?
 
mkuu uyo dogo anaweza sana, sema tu media inambania. Malle wa MECKO SOUTH, ana sauti ya zege ya ki-hiphop. Kuna pini zake mbili ambazo huwa lazima nizisikilize getho kila usiku ninaporudi kutoka mishe: 'Kawaambie Madogo' (ft. Nash Mc), na ''Jina La Mwandishi - M.A.L.E'' (hasa ile remix yake). Ameshaandika kitabu kinaitwa ''Chuo Kikuu Cha HipHop'', dogo anajitahidi sana kuendeleza harakati za hip hop.

anajua sana hasa ngoma yake ya 'kawambie madogo' imetulia sana
 
hawa masela wakijaga town wanaishia kwenye ma group ya ovyo..wanataka kuwa wajanja kuliko wazawa..kuiga sana unyamwezini sio ujanja..ila ngoma zake za dakika sifuri na mtoto wa kiume ni soo...R.I.P

Mkuu mbona unawasema wakuja wakat we mwenyewe umeiga jina la Marehem aliyekufa na UKIMWI huko L.A Compton?
 
Hivi hawa wasanii wanaotumia ngada huwa hawajiulizi kwanini KALAPINA pamoja na uhuni wake wote alioufanya but still hatumii hizo mambo?

Geez sidhani kama alianza ngada. Nimeishi nae kitaa kimoja nae kino ufipa street ilikua ni konyagi sana from mornie to evening. Niliondoka 2012 kwenda chuo niliporudi nikameet nae kino studio Kausha records sikuwahi kumuona au kugundua akitumia unga. Ila pombe hasa Konyagi saana tu yani kwa hilo mimi shahidi. Hii ya drugs/sembe naona wanamchafua tu
 
Mkuu mbona unawasema wakuja wakat we mwenyewe umeiga jina la Marehem aliyekufa na UKIMWI huko L.A Compton?

we kama unaona kuiga jina ni sawa na kuiga kula unga sijui nisemeje..
 
ImageUploadedByJamiiForums1415905138.747979.jpg
Sema sio issue baharia kaacha Copy inaitwa Nasra
 
Tatizo la figs limetokana na nini? Acha ubishi wa kijinga mteja wa unga anaonekana vizuri tu, viroba yule walaa, Arusha alipoamia tena akawa mshkaji na pusha wa Poda unategemea nini? Acha kubishabisha tu.

Mkuu acha uongo bhana Geez hakutumia nasema hili mana nimeishi nae kitaa kimoja jamaa ilikua ni tungi konyagi kwa saana hii ya drugs mnamchafua tu. Rip jembe. Chief of Dirty south dawg
 
Juzi kuna mada ya unga tulikua tunajadili humu na kuna member alisema geez bovu alikua anapiga viroba bila kula hadi figo zikafeli.

Leo kafariki.


Nyimbo zake zitaanza kupigwa Leo usiku

Ulicho sema ni kweli. Mtaani tulikuwa pamoja pale Kinondoni B bar inayoitwa Aika na tulicheza nae sana mchezo wa pooltable hivyo viroba na unga alikuwa anapiga sana tu.
Unga na viroba utawamaliza sana watumiaji. Apumzike anapostahili.
 
rest in peace nigger,dah! geez mabovu i can't believe bro,my best friend
 
"Jisaachi kabla mfuko haujatoboka full msimbazi kama adili wa choka,tembeza mbili mbili mabovu ndio atakayelipa hii bill"--#JISACHI.
 
Back
Top Bottom