Mwanamuziki wa kizazi kipya almaarufu kama Geez Mabovu ameaga dunia. Geez alitamba na mtindo wa hiphop. Amefariki mkoani Iringa baada ya kuugua kwa muda.
Chanzo: EA Radio
Daah! Habari mbaya sana hii asee! Pole kwa wafiwa na wadau wa bongofleva kwa ujumla!
Nakumbuka baadhi ya nyimbo kama mtoto wa kiume na ile collabo ya wimbo wa 'mimi'
Jamaa alikuwa na kipaji na vocal kali sana! Sauti kali na kubwa kwa battle rhyms! Dah
Pole kwa clouds 'shem' wao wa zamani ndio katutoka!
R.I.P Geez Genious Mabovu!
Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
Ingia waptrick,nimetoka kupakua ile ngoma aliyeimba na ally kiba na marlawMsaada please,
Naomba link ya Ku download wimbo wake wa PARTY FULANI Kama unaweza kaka!!
Labda alimaanisha zile rhymes za Ku battle between MCsSamahani mkuu..
Battle ryhms ndo nan.?
wapenzi wa taarabu utawajua tu
Hata mi sijaelewa naona na king kong 3 karudia.
Hata mi sijaelewa naona na king kong 3 karudia.
hivi kipindi kile anaprint t shirt za king'oko ilikuwa ni zuga au alikuwa hajaanza ku piush madudez, halfu mbona hata mtoto wa mkuu kaya na yeye anahusishwa ku deal sembe kule mitaa ya king'oko?
Jina lake la kiserikali ni nani?
Mwanamuziki wa kizazi kipya almaarufu kama Geez Mabovu ameaga dunia. Geez alitamba na mtindo wa hiphop. Amefariki mkoani Iringa baada ya kuugua kwa muda.
Chanzo: EA Radio
na jos mtambo anahitaji xana maombi
Hivi yp aliumwa nin?
Hivi yp aliumwa nin?
Duuuu RIP MABOVU nilipenda ulivyochana mistari,,eee vipi nae ni kifua kilikua kinamsumbuaaa