Tanzia: Mwanamuziki Geez Mabovu aaga dunia

Tanzia: Mwanamuziki Geez Mabovu aaga dunia

To him (almight God) we belong, and to him is our return!
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka nilipotoka dirty south Iringa/
Sikuja kwa bus town, bali na ndinga/
Full maujanja, sikuzijua shida/..

R.I.P Mabovu.
Dah kwenye hii ngoma alitambaa kigangwe sana,p.k.a Geez.
 
Kwenye moja ya interview zake alisema aliongoza mkoa wa Dar matokeo ya darasa la saba.R.I.P mtoto wa kiume
 
~Kaka Voda milionea unawamaliza machizi,wastue wadogo zako waache poda wale mmea.
~King'oko imepotea bora ulivyofungua car wash.

hivi kipindi kile anaprint t shirt za king'oko ilikuwa ni zuga au alikuwa hajaanza ku piush madudez, halfu mbona hata mtoto wa mkuu kaya na yeye anahusishwa ku deal sembe kule mitaa ya king'oko?
 
Back
Top Bottom