TANZIA: Mwanamuziki Michael Denis (John Walker) afariki dunia

2hery

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2011
Posts
4,700
Reaction score
4,625
Habari zilizonifikia hivi punde na kuthibitishwa na chanzo huru kinataarifu msanii John Walker ameagaa dunia leo alfajiri akiwa hospitali ya Muhimbili alikofikisha kupatiwa matibabu.

Walker alilipukiwa na gesi jana (iliripotiwa hapa JF pia)

Msanii huyu alitamba na staili yake ya mziki akiimba kama mlevi.

Mungu ampumzishe kwa amani.
 
walipost humu kama aliungua na gesi. apumzike pema..
 
R.I.P.
Ila kuna waraka umeletwa hapa kuwa kalipukiwa na mtungi wa gesi ya Gari
So kafa kwa ajali ya namna hiyo
 
R.I.P Bro ntakukumbuka na song lako 'Walimu tuna hali ngumu'
 
[emoji17] ...May your heart and soul find peace and comfort.....[emoji120]
 
R.I.P kweli nimeamini sisi wote ni wafu watarajiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…