2hery
JF-Expert Member
- May 27, 2011
- 4,700
- 4,625
Habari zilizonifikia hivi punde na kuthibitishwa na chanzo huru kinataarifu msanii John Walker ameagaa dunia leo alfajiri akiwa hospitali ya Muhimbili alikofikisha kupatiwa matibabu.
Walker alilipukiwa na gesi jana (iliripotiwa hapa JF pia)
Msanii huyu alitamba na staili yake ya mziki akiimba kama mlevi.
Mungu ampumzishe kwa amani.
Walker alilipukiwa na gesi jana (iliripotiwa hapa JF pia)
Msanii huyu alitamba na staili yake ya mziki akiimba kama mlevi.
Mungu ampumzishe kwa amani.