TANZIA: Mwanamuziki Michael Denis (John Walker) afariki dunia

TANZIA: Mwanamuziki Michael Denis (John Walker) afariki dunia

IMG-20151214-WA0002.jpg




APUMZIKE KWA AMANI


MINAKUNYWA HELA KUTOKANA NA POMBE ZANGU AAAHAA MI NAKUNYWA POMBE KUTOKANA NA HELA ZANGU NI MSTARI MMOJA WA JOHN WALKER KAMA SIKOSEI MMMH KAMA NIMEMCHANGANYA MUNISAMEHE
 
Inna Lilah wa Inna Ilayh Rajiun....
wote ni wa Allah na kwake tutarejea.
Poleni wote kwa msiba huu.
 
Hivi ndio huyu jamaa alikuwa pamoja na Mkoloni? Kama nakumbuka vizuri naye pia alifariki. RIP bro.
 
Mimi nakunywa hela kutokana na pombe zangu aaa nakunywa pombe kutokana na hela zangu
R.I.P John Walker
 
Back
Top Bottom