strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,921
- 3,308
Sio gas ya kupikia ni gas ya gari Ndugu
- R.I.p john walker,TBS chunguzen ubora Wa haya majiko ya gesi maana mwaka Jana yalichukua uhai Wa mwandishi mmoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio gas ya kupikia ni gas ya gari Ndugu
- R.I.p john walker,TBS chunguzen ubora Wa haya majiko ya gesi maana mwaka Jana yalichukua uhai Wa mwandishi mmoja
Mbona umechelewa kuamini?R.I.P kweli nimeamini sisi wote ni wafu watarajiwa
Huyohuyo nduguView attachment 323476
APUMZIKE KWA AMANI
MINAKUNYWA HELA KUTOKANA NA POMBE ZANGU AAAHAA MI NAKUNYWA POMBE KUTOKANA NA HELA ZANGU NI MSTARI MMOJA WA JOHN WALKER KAMA SIKOSEI MMMH KAMA NIMEMCHANGANYA MUNISAMEHE
THANK YOUHuyohuyo ndugu
mkoloni yupi unayemzungumzia ww kuwa naye kafariki?Hivi ndio huyu jamaa alikuwa pamoja na Mkoloni? Kama nakumbuka vizuri naye pia alifariki. RIP bro.