MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,267
Duh mbona matukio ya gas kuua yanaongezeka, jana pia imeua mtoto ngorongoro, poleni wafiwaHabari zilizonifikia hivi punde na kuthibitishwa na chanzo huru kinataarifu msanii John Walker ameagaa dunia leo alfajiri akiwa hospitali ya Muhimbili alikofikisha kupatiwa matibabu.
Walker alilipukiwa na gesi jana (iliripotiwa hapa JF pia)
Msanii huyu alitamba na staili yake ya mziki akiimba kama mlevi.
Mungu ampumzishe kwa amani.