TANZIA: Mwanamuziki Michael Denis (John Walker) afariki dunia

TANZIA: Mwanamuziki Michael Denis (John Walker) afariki dunia

Rest In peace Nicca there's Heaven for G's.
Unafiki wa media tutauona leo ghafla wimbo wako utakua top 10 leo.
 
Miaka Mingi sana sijamsikia jamaa,innalillah wainna ilayh raajiuun
 
Bwana ametoa na Bwana ametwaa,jina lake lihimidiwe,ameen
 
Tuesday, February 16, 2016


BREAKING NEWS !!!

Kwa wale waliokua wapenzi wa bongofreva nadhani watalua wanamfahamu msanii John Woka alikua akitamba na style au mtindo wake wa kurap kama mlevi,
Alitamba na nyimbo kama UMASKINI HUU , SHEMEJI , WALIMU, na nyingine nyingi alikua akiimba na mwanamziki mwenzake MJALUO ,
taarifa iliotufikia inasemekana amefariki dunia katika hospitali ya muhimbili na msiba upo maeneo ya buguruni bungoni

BWANA AMETOA NA BWANA AMETOA JINA LA BWANA LIIMIDIWE, AMEN! !!


Kwa hisani ya Shedrack mwainyekule kutoka

KING'AMUZI: BREAKING NEWS !!!
 
Pumzikia kwa amani, nakumbuka nyimbo ulizoimba kama sofia, walimu na nyingine nyingi tu za kufundisha.
 
Back
Top Bottom