Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,637
R.I.PHabari mbaya kwa wapenzi wa country musics ni kwamba yule mkongwe wa nyimbo hizo ajulikanaye kama Don Williams amefariki Dunia.
Allifanya kazi yake vizuri na aliyaishi vizuri maisha yake na kuacha hazina kubwa sana.
Pumzika Don Williams the Gentle Giant