TANZIA: Mwanamuziki nguli wa miondoko ya Country, Don Williams afariki dunia

TANZIA: Mwanamuziki nguli wa miondoko ya Country, Don Williams afariki dunia

Consigliere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
12,037
Reaction score
24,637
Habari mbaya kwa wapenzi wa country musics ni kwamba yule mkongwe wa nyimbo hizo ajulikanaye kama Don Williams amefariki Dunia. Don amefariki baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Allifanya kazi yake vizuri na aliyaishi vizuri maisha yake na kuacha hazina kubwa sana.
We will always miss you Don Williams, then, now and till the river is all run dry.

Pumzika Don Williams the Gentle Giant
 
RIP Legend... Ndiyo nimelala na kuweka play all ktk folder lake hapa.

Music kama.. Listen to the redio,I believe in You,Am just a Country Boy,Lay Down Beside me,If you could read my mind,Peace train.


Wakongwe wanazidi kututoka.
 
Back
Top Bottom