Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaaa unatemaga madini tupuHuwezi kujua kuwa dunia Ina mambo mpaka likukute jambo
Maisha ni Safari ndefu sana na dunia Ina mengi sana......
Mshukuru Mungu kwa kila jambo.....
Jiweke mbali na kuwasemea watu na kuwahukumu Kwani wahusika ndio wanaoujua ukweli ambao wewe unauona nje......
DUNIA INA MAMBO NA HUWEZI KUJUA MPAKA LIKUKUTE JAMBO
Hiyo video naicheki wapi mkuu?Tafuta video uicheki aisee unaweza sema Jamaa Walikua na Bifu Nae
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Hivi huko kwenu hata zile saga zamakinikia mmezipata kwel nasidhani hata mnajua kua diamond anamepata watoto 3Huku kwetu hajulikani nakwambia, ndo kwanza nasikia hili jina sikutanii vile
hebu nipashe,Hivi huko kwenu hata zile saga zamakinikia mmezipata kwel nasidhani hata mnajua kua diamond anamepata watoto 3
Kijiji kimoja huku Mbozi mkuu, sasa hivi mkoa mpya wa Songwe.[emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeeee kijiji cha wapi hicho
RIP Sam
Hahahaaaa, inachekesha lakini inasikitisha."Ukimwi wa kulogwa"
duuh poaYeah simjui kabisa
Hapo umeongea sahihi kabisa...Ila kwenye huu uzi kuna comments umetoa zinatia taharuki kwa watu..... Mfano ARV vs FIGO.....Ukimwi huwa unaruka sehem zingine ingekuwa unaambukiza hivyo hakuna ambae angebaki salama
Sio kweliAcha kupotosha watu wewe...ukila mate ya demu mwenye ngoma or ukigusa tu papuchi yake umekwisha