TANZIA: Mwanamuziki wa bongo fleva, Salum Mohamed maarufu kwa jina la Sam wa Ukweli afariki dunia

TANZIA: Mwanamuziki wa bongo fleva, Salum Mohamed maarufu kwa jina la Sam wa Ukweli afariki dunia

Huwezi kujua kuwa dunia Ina mambo mpaka likukute jambo

Maisha ni Safari ndefu sana na dunia Ina mengi sana......

Mshukuru Mungu kwa kila jambo.....

Jiweke mbali na kuwasemea watu na kuwahukumu Kwani wahusika ndio wanaoujua ukweli ambao wewe unauona nje......

DUNIA INA MAMBO NA HUWEZI KUJUA MPAKA LIKUKUTE JAMBO
We jamaaa unatemaga madini tupu
 
Huku kwetu hajulikani nakwambia, ndo kwanza nasikia hili jina sikutanii vile
Hivi huko kwenu hata zile saga zamakinikia mmezipata kwel nasidhani hata mnajua kua diamond anamepata watoto 3
 
"Wapenda ngono na wachawi sio kwenu tu, hata kwetu wapo"

"Imani inaponza watu wengine sio wazuri,hata ukitenda jemaaaa"!!!


Kifo, kifo, kifo hauna huruma!!

Tutakukumbuka daima milele Sam wa Ukweli.
 
إِنَّ ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ وَمَاتُوا۟ وَهُمْ كُفَّارٌ أُو۟لَٰٓئِكَ عَلَيْهِمْ لَعْنَةُ ٱللَّهِ وَٱلْمَلَٰٓئِكَةِ وَٱلنَّاسِ أَجْمَعِينَ

Hakika walio kufuru na wakafa hali ni makafiri, hao iko juu yao laana ya Mwenyezi Mungu na ya Malaika na ya watu wote. (maneno ya Mwenyezi Mungu haya)

Watu kama hawa hata wakifa kuandika R.I.P ni kupoteza muda maana mtu kama mtu dakika ya mwisho unafia studio ukifanya kazi za shetani kumuombea apumzishwe kwa amani ni upumbavu.
Hata kufa kwake na ukimwi ni halali yake kabisa.

Acha akavune alichopanda
 
Kwanza watanzania sijui ni lini tutaelewa dhana nzima ya UKIMWI. ni upungufu wa kinga mwilini na hii huweza kumkuta mtu yoyote kwa sababu mbalimbali.
Ukiugua malaria tayari kumekuwa na upungufu wa kinga ndo maana plasmodium wamekushambulia, ukipata mafua virus wamekushambua, kikohozi na hata tumbo bacteria wamekushambulia kote sababu ni hizohizo za upungufu wa kinga.
Ndugu zetu jamaa zetu marafiki zetu wazazi na watoto wetu wanafariki kila kukicha kwa sababu ya UKIMWI ni bahati mbaya sana pale ambapo tunathubutu kunyooshea wengine vidole na kuwaona ni wadhambi kwa sababu hii.
R.I.P Sam
 
Ukimwi huwa unaruka sehem zingine ingekuwa unaambukiza hivyo hakuna ambae angebaki salama
Hapo umeongea sahihi kabisa...Ila kwenye huu uzi kuna comments umetoa zinatia taharuki kwa watu..... Mfano ARV vs FIGO.....
Kwanza kabisa ifaamike Kuna ARV aina nyingi na Kila ARV inatabia zake tofauti na nyingine...... Mfano ipo inayo weza sababisha (sio kwa Kila mtu anayetumia)kuharibu utunzaji wa mafuta kwenye mwili(lipodystrophy) hivyo mtumiaji kubadilika mwonekano wake wa awali, zipo zinazoweza kumfanya kunenepa, zipo zinazoweza kuvuruga ufahamu(CNS manifestation)......nk.
Hivyo ikitokea Dawa imemletea mtumiaji madhara ( matharani UGONJWA WA FIGO - nephrotoxicity) basi mtumiaji anabadilishiwa Dawa... Na Mambo yanaendelea kama kawaida....
 
Sina Raha ni Bonge la Wimbo.

Ila Ukiwa msanii ngumu sana kuruka mbususu za bure zinazojileta na kama ukiwa unafungua zipu ovyo ovyo NI KAZEZE NI KAZEZE NI KAZEZE.
 
Back
Top Bottom