impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,846
- 7,907
Nini tatizoDah nahisi Leo natoboa
Karibu huku
Nini tatizoDah nahisi Leo natoboa
Ombi langu ume crush (pm kunifungulia)Dah nahisi Leo natoboa
Udini ndio unammaliza, hata Lipumba ni hivyohivyo.Yule mpemba Hamad yule alimpora mwenzie chama kwa ajili ya tamaa
Sasa nae kaporwa na Lipumba
Ina maana Lipumba kaja kumsaidia ngosha mwenzie
Ubusy tu mkuuNini tatizo
Karibu huku
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Ombi langu ume crush (pm kunifungulia)
U busy ?Ubusy tu mkuu
Usinifanyie hivyo nitungulie nikutumie salaam zisizo za public[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kwa hyo hapa ni kuporana tuuu mbele kwa mbele.Udini ndio unammaliza, hata Lipumba ni hivyohivyo.
Hivi Lipumba na Maalim Seif wameenda kuhami msiba? Maalim Seif alikula njama na kumdhulumu huyu Mzee Chama Chake. Kwa kuwa malipo ni hapahapa dunia, Maalim naye akaporwa chama na Prof Lipumba!Mzee alimshauri sana Lipumba asibadilishe CUF kuwa chama cha kidini lakini hakusikia.
Lipumba alimsumbua sana huyu Mzee.
Hi...[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
HelloHi...
How's you... miss yoHello
Am goodHow's you... miss yo
I'm happy for that..Am good
Mwenzio anamchanganya na yule wa star tvBernar James yuko mwananchi/citizen
Mtoto wa mapalala ndy
Ova
Yeah leo walikuwepoHivi Lipumba na Maalim Seif wameenda kuhami msiba? Maalim Seif alikula njama na kumdhulumu huyu Mzee Chama Chake. Kwa kuwa malipo ni hapahapa dunia, Maalim naye akaporwa chama na Prof Lipumba!
Yap nimeona picha Seif yupo pale na bakora yake wakiwa na JK, Lipumba, Msajili wa Vyama na wengine. Ningekuwa mimi ndugu yake Mapalala ningemfukuza Maalim kwa alimdhulumu Mzee Mapalala chama chake. Maalim Seif ni mchoyo tena mlaghai.Yeah leo walikuwepo
Sema Seif hakuenda kanisani aliishia nyumbani
Lipumba alienda na speech akatoa km mwenyekiti wa cuf
Mapalala hakuwa na kinyongo na mtu. Alihimiza amani siku zote..Kama angekuwa hai Leo angefurahi kuona wamesalimiana.Yap nimeona picha Seif yupo pale na bakora yake wakiwa na JK, Lipumba, Msajili wa Vyama na wengine. Ningekuwa mimi ndugu yake Mapalala ningemfukuza Maalim kwa alimdhulumu Mzee Mapalala chama chake. Maalim Seif ni mchoyo tena mlaghai.