TANZIA: Mwanasiasa mkongwe na Mwanzilishi wa CUF, James Mapalala afariki dunia

Mzee alimshauri sana Lipumba asibadilishe CUF kuwa chama cha kidini lakini hakusikia.

Lipumba alimsumbua sana huyu Mzee.
 
Yule mpemba Hamad yule alimpora mwenzie chama kwa ajili ya tamaa
Sasa nae kaporwa na Lipumba
Ina maana Lipumba kaja kumsaidia ngosha mwenzie
Udini ndio unammaliza, hata Lipumba ni hivyohivyo.
 
Kwa hyo hapa ni kuporana tuuu mbele kwa mbele.
kama Nyerer alivyo wapora chama akina Syks na Kisha kuwatupilia mbali,na yeye kuibuka kuwa Baba wa taifa
Shujaa peke yake.
Ukatoliki Bana kweli unaunyanyasa Uislamu.
 
Mzee alimshauri sana Lipumba asibadilishe CUF kuwa chama cha kidini lakini hakusikia.

Lipumba alimsumbua sana huyu Mzee.
Hivi Lipumba na Maalim Seif wameenda kuhami msiba? Maalim Seif alikula njama na kumdhulumu huyu Mzee Chama Chake. Kwa kuwa malipo ni hapahapa dunia, Maalim naye akaporwa chama na Prof Lipumba!
 
Yeah leo walikuwepo
Sema Seif hakuenda kanisani aliishia nyumbani
Lipumba alienda na speech akatoa km mwenyekiti wa cuf
 
Yap nimeona picha Seif yupo pale na bakora yake wakiwa na JK, Lipumba, Msajili wa Vyama na wengine. Ningekuwa mimi ndugu yake Mapalala ningemfukuza Maalim kwa alimdhulumu Mzee Mapalala chama chake. Maalim Seif ni mchoyo tena mlaghai.
 
Mapalala hakuwa na kinyongo na mtu. Alihimiza amani siku zote..Kama angekuwa hai Leo angefurahi kuona wamesalimiana.
 
Back
Top Bottom