TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
R.I.P Mzee James Mapalala
Nikija nitazuia mazishi hadi nipewe ng'ombe. Shauri yenu...Msiba uko wapi hasa mtani?Ohhh ss si uje msibani na ww !
Nikija nitazuia mazishi hadi nipewe ng'ombe. Shauri yenu...Msiba uko wapi hasa mtani?
Ita guta kabisa hapo!Ahaha utani wa kwenye misiba jaman mm unanikeraga..ahaaa ..msiba uko tabora..tuma tu nauli mm niwakilishe😉
Mkuu hujui, muulize Mwl Kassala mapalala na Kamahuru yake alijoin tuSi kweli aliyeanzisha chama hichi ni James Mapalala
Mungu anajibu dunianiAlikuwa mwanzilishi wa CUF,pia ni mwenyekiti wa kwanza wa CUF Tanzania bara.Sema wakamletea figisu kuwa ni msaliti na anashirikiana na CCM.Maalim Seif ndo alianza figisu kusema kuwa wafadhili hawataki kutoa misaada,wafadhili hapa nasemea Waarabu,kisa eti James ambae ni Mkristo ni Kafiri.Yaani chuki zilianzishwa na viongozi wa Zanzbar ambao ni maalim Seif na genge lake.Walifikishana kwa msajili wa vyama kipindi hicho akiwa George Liundi.Mwaka 1994 Ndo alitolewa uenyekiti;Alishinda mwaka 1993 hivyo hata hakukaa sana.
Ndo ukawa mwisho wa James Mapalala kuwa Mwenyekiti CUF Bara.
Huyu ndiye mwenye chama chake, maalim alipovuliwa gamba akatafuta kichaka cha kujificha, akaona heri aombe hifadhi kwa james ili asitoke kwenye ulingo wa siasa. Kwakuwa Seif anapenda madaraka akamletea zengwe marehemu na kumfukuza chama. Muosha huoshwaHivi huyu ndiye mwenye CUF yake?

WAislam wabaguzi sanaNdiyo maana aliitwa kafiri.
Seif wa juzi CUF?hauko seriousHamad alikua mdogo sana kipindi hicho, hapa unazungumzia mtu Kama Shabaan Mloo. Huyo Hamad wa juzi tu.
Agiza bilauri ya sharubati ya tikiti na tango kisha rudia kusoma nilichoandika kwa utuo alafu uje tena.Seif wa juzi CUF?hauko serious
ni kweli kama huru ilikuwa zanzibar ndo iliyoungana na chama cha wananchi ikazaliwa CUFKamahuru kilikua chama cha wafuasi wa Seif mkuu sio mapalala, vuta kumbukumbu vizuri
Hasa kwa binti yake Phelister ambaye nilisoma naye O-Level Mwenge Secondary School 1977 - 1980. Pole Sana dada yangu.Pole kwa familia