Vera ginger
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 1,462
- 1,919
Hujui aiseeHamad alikua mdogo sana kipindi hicho, hapa unazungumzia mtu Kama Shabaan Mloo. Huyo Hamad wa juzi tu.
Mapalala ndo alimkaribisha seif
Lkn seif akampindua kwa tamaa zake
Hujui aiseeHamad alikua mdogo sana kipindi hicho, hapa unazungumzia mtu Kama Shabaan Mloo. Huyo Hamad wa juzi tu.
AiseeeeR.I.P Ngosha,at least umeishi kuona kilichowapata wale waliokuletea nuksi pale CUF.
Ndio mwanzilishi hawa wengine ni wafuasi wake. R I P.Hivi huyu ndiye mwenye CUF yake?
Aliporwa madaraka na mzee wa madaraka Maalimu Seif.kwa laana ya Mzee Mapalala na Aboud Jumbe,maalim kawa mtu wa kutanganga''jangwani'' sasa kawa chini ya Zitto.RIP Mzee, mchango wako katika vyama vingi ni mkubwa sana.
Udini ndio uliomuondoa Mapalala CUF. Waarabu wadini SanaCuf ni Hamad sio Mapalala wala Lipumba. Na ndio mana alipoondoka Mapalala chama hakikuyumba Lakini muondoka wa Hamad Cuf ndio mwisho wa CUF. Tayari imezikwa.
R.I.P Mzee James Mapalala... poleni wafiwa.Siku historia ya nchi ikiandikwa kwa uhalisia wake basi jina la James Mapalala halitakosekana!
Nyakati zake watu wengi walijua kuwa mambo hayakuwa sawa lakini walikaa kimya ila yeye alisimama na kusema "haya mawazo yenu sio...". Of course naye alikumbana na 'uhalisia' wa watz kwa kusalitiwa ila mpaka mauti nadhani bado anaamini alichokiamini tangu awali (mwenye kujua kama aliunga mkono juhudi anikosoe tafadhali).
R.I.P
Bernard james yupi wa startv?Pole sana mzee mapalala
Pole sana Bernard james
Ova
Huna unachoelewa kumhusu Musobi Mageni! Huyo Mzee alikuwa Msukuma wa Kwimba, binti yake Leticia aliolewa na mtoto wa JKN!Wote hao wanyamwezi Shaban mloo mnyamwezi wa Zanziba kule kuna wanyamwezi wengi mmojawapo Ni huyo Shaban Mloo .,Mageni Mnyamwezi wa Tabora,Lipumba Mnyamwezi wa Tabora.
Lipumba amepora herufi tatu tu.Yule mpemba Hamad yule alimpora mwenzie chama kwa ajili ya tamaa
Sasa nae kaporwa na Lipumba
Ina maana Lipumba kaja kumsaidia ngosha mwenzie
Si kweli aliyeanzisha chama hichi ni James MapalalaKama kitu hujui uliza. CUF ilianzishwa na Mwl Kassala aliyekuwa akitundisha IFM na ilianzishwa katika Function Hall ya IFM. Upo hapo!
Alikuwa mwanzilishi wa CUF,pia ni mwenyekiti wa kwanza wa CUF Tanzania bara.Sema wakamletea figisu kuwa ni msaliti na anashirikiana na CCM.Maalim Seif ndo alianza figisu kusema kuwa wafadhili hawataki kutoa misaada,wafadhili hapa nasemea Waarabu,kisa eti James ambae ni Mkristo ni Kafiri.Yaani chuki zilianzishwa na viongozi wa Zanzbar ambao ni maalim Seif na genge lake.Walifikishana kwa msajili wa vyama kipindi hicho akiwa George Liundi.Mwaka 1994 Ndo alitolewa uenyekiti;Alishinda mwaka 1993 hivyo hata hakukaa sana.
Ndo ukawa mwisho wa James Mapalala kuwa Mwenyekiti CUF Bara.