Mwanasiasa mkongwe Mzee James Mapalala amefariki dunia leo katika hospitali ya Kairuki. Mungu amuweke mahali pema. Mzee Mapalala alizaliwa Februari Mosi, 1936.
Mtoto wa Mzee Mapalala, Bernard James amesema baba yake amefariki dunia leo saa 4:30 asubuhi hospitali ya Kairuki alikokuwa tangu wiki mbili zilizopita baada ya kusumbuliwa na maradhi ya kupumua.
Msiba uko nyumbani kwao Kinondoni.
Pia soma
HARAKATI za mageuzi nchini zina historia ndefu, zikianza kabla ya uhuru ambapo wa wananchi kupitia vyama na vuguvugu za aina mbalimbali waliungana ili kuwaondoa wakoloni. Hadi mwaka 1961 chama cha Tanu kilichokuwa kikiongozwa na Mwalimu Julius Nyerere kilishinda uchaguzi na kuunda...
www.jamiiforums.com
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na wananchi wa Kilwa katika mkutano wa hadhara uliofanyika kijiji cha Magengeni Kilwa Kivinje katika ziara yake ya baadhi ya mikoa ya Tanzania Bara. Kama CUF iliweza kukaa pamoja na CCM iliyodaiwa...
www.jamiiforums.com
FRIDAY, 28 MARCH 2014 James Mapalala (kulia) akiwa na Rais Jakaya Kikwete Mwanasiasa mwenye historia ya kipekee nchini, James Mapalala amesema ufafanuzi wa Rasimu ya Katiba uliotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba, umekiacha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye wakati mgumu. Mapalala, ambaye...
www.jamiiforums.com
Huu mzozo aside, Mapalala anasema Hamad Rashid Mohammed ni mtu muhimu sana katika CUF kwa sababu ndiye mtu pekee anayeweza kwenda kutafuta fedha nchi za nje kwa ajili ya chama (kuomba misaada) ? Hawa ndio wanamapinduzi wetu jamani. ---- Ni kweli J. K. Mapalala alikuwa ni mmoja wapo katika...
www.jamiiforums.com