TANZIA: Mwenzetu Heaven Sent kafiwa na baba yake mzazi mchana wa leo

oohhhh mzaa chema wetu maskini!!!!!

I don't even know you mbali na kukutana nawe kwenye threads lakini moyo umeniuma machozi yamenitoka!

POLE SANA my dear sister Heaven Sent 🙁 🙁

May you be granted the strength, comfort and peace that you need in these difficult times.
Our thoughts are with you.

May our father Rest in Peace.
 
RIP BABA waHeaven sent
 
Apumzike kwa amani baba.Heaven sent Mungu awafariji kipindi hiki kigumu mnachopitia.
 
Pole sana Heaven Sent! Mungu Akupe nguvu, faraja na amani katika kipindi hiki kigumu. Ampumzishe mpendwa mzazi wako kwa Amani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…