drgeorgemayalla
Senior Member
- Jul 9, 2012
- 174
- 171
My sincere condolences to the family
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RIP BABA waHeaven sentWanajamvi.
Kwa Masikitiko makubwa napenda kuwaataarifu Member mwenzetu Heaven Sent kafiwa na Baba ake Mzazi leo hii.
Kwa Mujibu wa Heaven anasema mzazi wake ameamka salama akiwa anajiandaa kwenda kazini alijiskia vibaya akasema acha apumzike kidogo ataenda baadae.
Gafla hali yake ikabadirika ikabidi akimbizwe Hospitalini Madktari walivyompima wakasema Presha iko juu.
Wakiwa wanaendelea kumpatia huduma hali ilizidi kuwa mbaya zaidi
hatimae Mzee akakata roho.
Raha Ya Milele Umpe Eeh Bwana, Na Mwanga Wa Ulimwengu Umwangazie, Apumzike Kwa Amani. Amen.
Kila nafsi itaonja mauti mtani. Inasikitisha sana....Nimesikitika sana mtani,HS anavyosimulia jinsi baba yake anavyompenda...
Apumzike pema baba yetu. Imenigusa sana.