TANZIA: Mwenzetu Heaven Sent kafiwa na baba yake mzazi mchana wa leo

Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe pole heaven Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
 
OMG!!

Pole sana my neighbour Heaven Sent

Mungu akupe moyo wa uvumilivu na subira katika kipindi hiki kigumu sana kwako.

Tunamwomba Mungu ampumzishe mahali pema peponi mzazi wetu.

Raha ya milele umpe Ee Bwana, na mwanga wa milele umwangazie. Apumzike kwa amani.

Amen!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…